CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

BAVICHA wanastahili pongezi nyingi sana.

Leo habari iliyobamba ni hiyo, hata hivyo nimejitahidi kufuatilia kama CUF, NCCR Mageuzi, TLP, UDP na ACT Wazalendo wanawake wao waliadhimisha sherehe hiyo bila mafanikio.

Uongozi imara wa CDM ndiyo siri kuu ya mafanikio yao
Kabisa
 
Nilidhani hawa komandoo baada ya kutoka jela wata surrender lkn bado wapo firm.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
... in fact Mahakama ndio imewa-certify kama VIP protectors wa chama. Chama kinaweza kuajiri wengi iwezakanavyo na sio suala la siri tena but it is open to the public
 
BAVICHA wanastahili pongezi nyingi sana.

Leo habari iliyobamba ni hiyo, hata hivyo nimejitahidi kufuatilia kama CUF, NCCR Mageuzi, TLP, UDP na ACT Wazalendo wanawake wao waliadhimisha sherehe hiyo bila mafanikio.

Uongozi imara wa CDM ndiyo siri kuu ya mafanikio yao
Act nao hawakubaki nyuma

20220308_211515.jpg
 
My first impression;
Udhaifu wangu mkubwa kwa mtoto wa kike ni "shape" ya guu lake la mfano wa chupa ya bia, na pia maumbile mazuri ya chura aliyembeba. Ama kwa hakika CDM ina hazina kubwa ya watoto wazuri wa aina hii.

Tujenge chama, tukuze mahusiano mema. Kwa hakika wanawake Watanzania mnaweza.
Se kibatala kakuchanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakili msomi jitokeze utoe ushahidi Dada kaolewa au bado ili tuaze kushinda viunga vya morogoro
 
Tatizo la ccm uko uwt kumejaa wake za viongozi na mabinti zao ambao wote wamevimbiwa na vinono na kuviziana kusaka teuzi,hakuna kitu wanaweza kufanya!!
Huu ndio ukweli na usitegemee ubunifu maana wamejaa waswahili. La kufanya ni kuvizia wajane na kuwahudumia ndo faida tunayoweza kupata ila ubunifu na hoja za kisiasa nenda BAWACHA.
 
Haaa kwamba CCM hawajiamini,lakini walipata kura 89%
tofautisha chaguzi uchaguzi na ukwapuaji yaani uchaguzi kukwapuliwa. Ule ulikwapuliwa ili uchaguzi ufanyike naccm isiwe nahofu lazima tume ya uchaguzi ibakie ileile usikate ndo ukweli mwanana mkuu chadema itake tumehuru na ccm ukubali yaan ccm ijielekeze kibra yenyewe ......thubutu yake ng'ombe wenyewe machinjioni hupelekwa hawajielekezi kuelekea huko kuchinjwa
 
Ila mavazi ya CDM huwa yanapendeza sana jamani
Mkuu, mtoto wa kike mwenye kuficha desa lake kwa kuvaa "dela" si sawa na yule mwenye uthubutu wa kuweka hadharani 'shape" ya guu ama muonekano mzuri wa chura.

Uzuri wa sura, huba la tabasamu, "dimples", maneno mazuri ya Kitanga, nyodo za Kichaga ama Kihaya, kudeka kwa Kinyamwezi ama Kimanyema, kutokujali kwa Kinyakyusa, kiburi cha Kimakua, kutahiriwa kwa Kikurya na Kimasai ni vigezi pia.

Bali mauno ya Kingoni Kizaramo na Wamakonde ni bonge la dili.
 
Back
Top Bottom