CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

Samia atapata kura nyingi sana. Waponzani wenyewe wapo wanaomkubali.

Allaah amjaalie na ampee afya njema mama ye2 SSH.
Kwenye sanduku la kura CCM tuna shida,, uku bara Samia akifikisha ATA asilimia 40 basi Yuko vizuri
 
Tumeimiss ile ccm yao, kwakweli ilikuwa burudaniii. Mungu yupo atairudisha siku moja. Na huwa nikiwaona akina bashiru na polepole, ndo napata faraja kubwaaa. Maaana walipigania wanyonge tukaeienda.
Wanyonge wa nyoko,,,kuumiza wapinzani wako ndo wanyonge,,jiulize why Kinana anaheshimika kuliko Bashiru, na why Nape anaheshimika kuliko Polepole
 
Ila wananchi uku bara wamemtenga zito Hana support kabisa
Watu walishamgundua amekuwa kikwako kwa upinzani kukua kwa haraka.

Alivyoona amekuwa maarufu akadhani anaweza kumiliki chama cha siasa.

Nje ya Chadema hakuna mwenye nguvu. Yuko wapi Halima Mdee??
 
Watu walishamgundua amekuwa kikwako kwa upinzani kukua kwa haraka.

Alivyoona amekuwa maarufu akadhani anaweza kumiliki chama cha siasa.

Nje ya Chadema hakuna mwenye nguvu. Yuko wapi Halima Mdee??
Mdee kwisha kabisa, daa amepotea
 
CCM balaza lao ni kama wamelazimwshwa hive, hawana amani kabisa looks like.

1646811723665.png
 
Back
Top Bottom