Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,467
- 2,861
Suala la makundi ndani ya taasisi yoyote haliwezi kuisha. Ila commons objectives ndizo huwafanya kuwa wamoja.
1985 kuna watu walimtaka Salim A. Salim akiwamo "Mchonga" na kuna watu walimtaka Mzee Ruksa.
1995 Sio wote walimkubali BWM. Yet ndiye alipeperusha bendera.
2015 wakati kamati kuu imekula vichwa akina Kimbisa, Nchimbi na Sofia Simba walikataa uamuzi wa majina ya "mfukoni" kama alivyosema Prof. Mwandosya.
CDM akina Kutila, Msando na Mwigamba walitengeneza mkakati wa siri ili ZZK akamate usukani wa CDM. Waraka uliposhtukiwa wakatolewa nje.
Yanga na Simba kila siku kuna mivutano ya hapa na pale. Huo ndio ubinadamu.
Hata nyumba za ibaada sintofahamu zipo.
Ila watu matured ni wale wanaokabiliana na muvutano na mizozo huku taasisi ikiwa imara kutekeleza malengo yake.
Waslaam
Sent using Jamii Forums mobile app