kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,005
- 6,665
Ajabu huyo bashiru kakuta kina kinana wamekijenga chama kwashida yeye anaingizwa na kuleta misimamo yake ya tofauti na wakongwe wanaufyata...kweli waafrika hatuko conscious kabisa MTU ameponda misimamo ya chama several times wakati wao wakiitetea Leo kayabadilisha yooote yanampigia makofi na kumwogopa akiyakemea. Unafiki huu ndio unafanya nchi haiendelei hii Leo kijanaake Mtatiro wa Cuf anapeperusha Bendera wapambanaji wanazurura namanguo ya kijani mjini