Mkuu maandamano umenistua sana, yaani salia kajoin jana tu, ana posts 107, kweli yupo kwa kazi maalum.
hao akina shonza ni viherehere vyao tu CHADEMA kimeanzishwa kwa malengo ya kabila fulani tu babu anatambua hilo ndo mana wanamlipa mamilioni asimamie maslahi yao hakika hatupo tayari kukabidhi nchi mifukoni mwa watu kwamwe na abadan
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Mkubwa! Umeonaee! Yupo kikazi zaidi kwa mtazamo wangu wa haraka haraka!
Juliana Shonza ni mke wa mtu au single? Naomba jibu tafadhali........
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'
Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.
Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
Hakuna udini zaidi ya ule wa CCM na CUF wa kuhamasisha mataahira kuchoma nyumba za kuabudia!mtahangaika sana kamwe hamtashinda CCM #1 ukabila wenu na udini wenu CDM ndo unawaponza
wapenzi wangu chadema hivi kama mnaanza kushughulikiana nyinyi kwa ninyi mtafika kweli?? mungu awarehemuShonza kashindwa kazi aliyotumwa na magamba sasa kinachobaki ni wao kumshughulikia tu.
dada yangu amini nikwambiayo ninapo sema tutashinda najua namaanisha nini mwanaume anajua anachofanya tusibishane sana subiria sinema uioneHAYA Nisomee safu ya uongozi wa ccm, tuone jinsi suala la udini, ukabila, ujeshi na undugu ulivyotawala. kisha uweke na list ya cdm kisha tuijadili
hata Rais MOI wa kenya hakuamini kuwa KANU itakuja kufa na kuwa chama kidogo cha upinzani. nenda kamuulize kilichomtokea, atakupa ushahidi sio porojo mnazosema humu jukwaani. Gadaffi angekua hai ningekushauri kaombe taarifa. lkn kamtafute Rais wa Ivory Coast, Misri na Tunisia hata Rais wa Ufaransa aliyepita watakujuza
unajua baba wa taifa alisema bila ccm nchi itayumba na rais bora tz atatoka CCMHakuna udini zaidi ya ule wa CCM na CUF wa kuhamasisha mataahira kuchoma nyumba za kuabudia!
Mwenyekiti wenu ameigawa nchi mapande mapande kidini, kitabaka, kishkaji na kiukoo.
CCM ni janga la taifa na ngonjera zenu za ukabila na udini sasa zimechuja.
Kamwe watanzania hawadanganyiki. Subirini kiama yenu 2015.