hahahaha WAPE WAPE HAOOOkwani kiongozi wa ccm kinondoni hawezi shiriki vikao vya kufanya uharamia Lumumba?
KIKWETE jembe wewe huwez mfananisha na babu yako halafu chadema mkikosolewa mnakimbilia kusema mamlukiKweli CCM matahira Jakaya mwenyewe anamgwaya DR Slaa kweli walidhani Ukuta wa DR Slaa ungepenya kirahisi,UKuta wake uko kama ule unaozingira mbegu ya kiume ikiungana na yai la mama unaitwa Zonar Pelucida vikishaungana hakuna mbegu nyingine yeyote inapenya ndivyo alivyo madhubuti Dr Slaa , Zitto mwenyewe kamshindwa DR
KIKWETE jembe wewe huwez mfananisha na babu yako halafu chadema mkikosolewa mnakimbilia kusema mamluki
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'
Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.
Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
only a foolish dog barks the flying birds CDM mmeishiwaUmeshiba makande usiku umekuja na Pumba
Nauliza tu hv yule waziri anayetembea na SMG akaibiwa na changu morogoro yupo wizara gani vile....
ili iweje??Juliana Shonza ni mke wa mtu au single? Naomba jibu tafadhali........
mnejua yanayotendwa na viongoi wenu wa CDM hakika mngetoa machozi ya damuKilimo na msosi
Hizo tuhuma mnazotegemea, kueneza ----- wa ukanda, udini na ukabila ni kuturejesha enzi za giza, mnawatumia watu wajinga kuhatarisha amani yetu.mtahangaika sana kamwe hamtashinda CCM #1 ukabila wenu na udini wenu CDM ndo unawaponza
nikanyage tu usiniumize ili 2015 nikudhihirishie ujembe wetu nusu saa tu baada ya vituo kufunguliwa tunanyakua ushindiUna hamu ya Kukanyagwa au nimesoma vibaya ID yako.
nikanyage tu usiniumize ili 2015 nikudhihirishie ujembe wetu nusu saa tu baada ya vituo kufunguliwa tunanyakua ushindi