CCM: Shonza ameshindwa kazi!

CCM: Shonza ameshindwa kazi!

dada yangu amini nikwambiayo ninapo sema tutashinda najua namaanisha nini mwanaume anajua anachofanya tusibishane sana subiria sinema uione

niombe radhi nani aliyekwambia mm ni dada na ni dada yako, usikurupuke kujibu au kumpa mtu jinsia pasipo yeye mwenyewe kujitambulisha wa jinsia gani. iwe mwisho leo kutaja watu kuwa ni dada au kaka humu. mwingine utamwita dada kumbe ni mwanaume au utamwita kaka kumbe yeye ni dada, wakikutukana usije ukalalamika.
 
niombe radhi nani aliyekwambia mm ni dada na ni dada yako, usikurupuke kujibu au kumpa mtu jinsia pasipo yeye mwenyewe kujitambulisha wa jinsia gani. Iwe mwisho leo kutaja watu kuwa ni dada au kaka humu. Mwingine utamwita dada kumbe ni mwanaume au utamwita kaka kumbe yeye ni dada, wakikutukana usije ukalalamika.
iam so sory
 
Shonza na zile hongo na hela ulipewa kusambaratisha CDM ni lazima zitakutokea puani!!! Nilisema wazi kuwa kule UVCCM hapati kitu na kuwa ni kifo chake kisiasa!!! Hukuijua CDM vizuri!! Na kiongozi wenu kaaibika vibaya mno!!!
 
mkuu tuwe na uhakika na tusemayo hizo hongo we uliziona ccm hawana mda mchafu wa kufanya hayo:shut-mouth:
 
Juliana Shonza alikuwa kirusi ndani ya CDM. Shukrani kwa viongozi waliomtimua.
 
CCM hoyerrr Ndio maana nawapenda .....wanajua kuwatumia wajinga halafu wakimaliza wana wa flush ...aka kabinti kalingia choo cha wakwe Ngoja mtakaona tu chezea ma kijani weye....?

Inasikitisha nasikia hata wazazi wake Shonza wanajuta kuzaa kabinti kama haka. Ni aibu kuwa mamluki na msaliti kiasi cha Juliana. Hata hivyo tunamtakia safari njema.
 
Ameshindwa kazi, amekwisha li wasira mmhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
 
mtahangaika sana kamwe hamtashinda CCM #1 ukabila wenu na udini wenu CDM ndo unawaponza

Muone huyu naye,ptuuuuuuuuuuuuu!Don't you feel ashamed mentioning those things?udini,ukabila....what the hell are these!binadamu wengine ni wa kusikitikia sana!
Ni lini tutaongelea mambo ya msingi na kuacha huu ushabiki wa kipumbavu na hatari kwa umoja wa nchi yetu???Ole wenu mnaochochea fikra za udini na ukabila kwa kuwa'point wengine kumbe ninyi ndo makuhubu wakubwa wa ushenzi huo!Wengine unfortunately wanatumiwa tu kwa njaa na ujinga wao na wanazi wa madaraka(CCM) kueneza sumu hii mbaya.Take care...............................................
 
mkuu tuwe na uhakika na tusemayo hizo hongo we uliziona ccm hawana mda mchafu wa kufanya hayo:shut-mouth:
Just from your perspective.......STATEMENT YAKO INGEKUWA YA KWELI NCHI HII TUNGEKUWA MBALI SANA!shida ni kwamba tumekuwa wepesi sana kuandika vitu kwa ushabiki kwa sababu tu ya ubinafsi na njaa zinazotusumbua!Hatuoni aibu kusema au kuandika uwongo wa wazi kabisa..!Tumepoteza critical thinking,hatuna vision for us as a nation and for the coming generations!
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar

Haka kabinti ni kajinga sana. Yaani kanakubali kuyumbishwa na kuongozwa na watu kama Nape, Mwigulu na Wasira walioshindwa kuongoza vyama vyao kwa ufanisi? Inawezenaje ukubali kushawishiwa na watu wanaotumia matumbo kufikiri? (Nape na Wasira) na wengine wanatumia kiuno kufikiri (Mwigulu)? sasa haya ndio matokeo ya ulimbukeni. Kweli tumbo na kiuno ni viungo muhimu lakini ni viungo vibaya sana kama utaviweka mbele.
 
Muone huyu naye,ptuuuuuuuuuuuuu!Don't you feel ashamed mentioning those things?udini,ukabila....what the hell are these!binadamu wengine ni wa kusikitikia sana!
Ni lini tutaongelea mambo ya msingi na kuacha huu ushabiki wa kipumbavu na hatari kwa umoja wa nchi yetu???Ole wenu mnaochochea fikra za udini na ukabila kwa kuwa'point wengine kumbe ninyi ndo makuhubu wakubwa wa ushenzi huo!Wengine unfortunately wanatumiwa tu kwa njaa na ujinga wao na wanazi wa madaraka(CCM) kueneza sumu hii mbaya.Take care...............................................
tutaacha pale CDM mtakapoacha kuendekeza siasa za udini ukabila na ufamilia
 
Back
Top Bottom