kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Ukweli unaumaa ndugu! Tukipima maelezo yako na mleta huu uzi wewe nafikiri ndo unatakiwa ukapimwe akili, ulitakiwa ujibu hoja sio unakuja na masuala ya Ruzuku, yaani kila kukicha nyie na Dr. Slaa tu lakini mtambue MTASHINDANA SANA LAKINI HAMTASHINDA.Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?