CCM: Shonza ameshindwa kazi!

CCM: Shonza ameshindwa kazi!

Nauliza tu hv yule waziri anayetembea na SMG akaibiwa na changu morogoro yupo wizara gani vile....

Wizara ya Wakulima i.e Kilimo +....umepata jibu.....? Kama hujaridhika nenda google utafute...Adam Kighoma Malima aka Mzee wa Mabunduki.
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?

Hamkufanyia Lumumba kumbe..??
 
Nafasi ya Shonza kuwa Mbunge mwaka 2015 ilikuwa wazi kwa nafasi aliyokuwa nayo ndani ya CDM, ila Zitto kamponza na ubunge atausikia kwa wenzake tu!
 
Waliompa kazi ndiyo walifanya makosa kutoelewa uelewa wa Juliana Shonza!!! Ni mtu ambaye hana umakini wowote, wapo watu ambao wanafanya kazi kwa umakini lakini siyo yeye.
Mimi mwenyewe nilikuwa na wasiwasi na umakini wa Juliana Shonza ni kama hata kutetea hoja kwake ni kama alishaugua malaria sugu na kuchelewa kutibiwa hivi. Siku zote akiongea zen nework inakata kwa muda kisha uendelea. Hata hao walimpa cheo hicho hawa kuwa makini.
 
Vuta Nkuvute.
Mimi huwa kuna watu ambao nkikuta title yao huwa siwapuuzii. Mmoja wapo ni wewe Vuta Nkuvute, Hali Halisi na Ab Titchaz, ni kama mnayoyaandika huwa mmeyashudia kwa macho na masikio yenu.
 
'Nani alimwambia kuwa
awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA
iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya
Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa.
Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa
Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao
kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es
Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika
kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili
aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi.
Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo
alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya.
Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba
Dar

Mkuu ivi hii nayo unaweza kuita propagander? Halafu kuna mamburula wanakusapoti
 
Last edited by a moderator:
Lazima ushaidi upotee,so juli ajiandae kwa SMG ya wassira.
 
vingapi??? tutarudisha majimbo mengi sana maana nyie hamna vision wala mission huoni hata slaa hakujiamini mpaka akamtaka sitta agombee kwenye chama chao???

dah .. NIKANYAGE ... yaani unaombea kabisa hilo tendo ... mhhh samahani mimi situmii

haa haaa Id nyingine bana
 
Last edited by a moderator:
Mpira wa kiume ukishatumika, unatupwa, basi!

'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
 
Nauliza tu hv yule waziri anayetembea na SMG akaibiwa na changu morogoro yupo wizara gani vile....

Ha ha ha!yuko kimya kweli kaka,hakuna cha SMG wala nini,usicheze machangu wa Mji Kasoro Bahari
 
Sheria kuu mbili za ccm.

1.Haina rafiki au adui wa kudumu.

2.fuata sheria namba moja.

acha ku copy na ku opest hiyo slogan ni ya kimarekani hawana rafiki wa kudumu na adui wa milele. Mtahangaika sana.
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
nakushauri ulete chanzo cha habari chakuaminika badala ya kupiga porojo.kama chanzo ni wewe mwenyewe unatakiwa ujitokeze kama verified user ili ushahidi utakapotakiwa uweze kuwajibishwa .
 
Ohooo,UUlimboka unanukia kwako July chunga sana"hawa jamaa kwa kupoteza ushaidi
hawacheleweshi"
 
Though no one can go back and make a brand new start, anyone can start from now and make a brand new ending.
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
 
Back
Top Bottom