CCM: Shonza ameshindwa kazi!

CCM: Shonza ameshindwa kazi!

yani hili salia limejiunga jana tu..dah

user-online.png
NIKANYAGE

Yesterday 23:17
#20
Senior Member Array

Join Date : 17th January 2013
Posts : 107
Rep Power : 322
Likes Received5
Likes Given5
 
Waliompa kazi ndiyo walifanya makosa kutoelewa uelewa wa Juliana Shonza!!! Ni mtu ambaye hana umakini wowote, wapo watu ambao wanafanya kazi kwa umakini lakini siyo yeye.

Waliompa kazi ndiyo hawakufanya makosa kwani ndiyo uelewa wao wa Juliana Shonza!!! Ni mtu ambaye hana umakini wowote kama waliomtuma, wapo watu ambao wanafanya kazi kwa umakini lakini siyo yeye wala wao wala chama chao au mwenyekiti wao dhaifu dhufuli.
 
Mara nyingi huwa najiuliza; hivi alipataje na umakamu m'kiti BAVICHA? ... alifanyiwa vetting kweli?.
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar
Kweli sasa hivi CCM kwishney!! Badala ya chama chao kupanga mikakati ya kumkomboa mtanzania masikini kutokana na maisha magumu ya kupindukia yanayomkabili, ili ile ndoto ya maisha bora kwa kila mtanzania itimie, wao badala yake wanakaa vikao vya siri, usiku na mchana, kupanga mikakati ya uovu, wa namna ya kuiua CDM!! Lakini wasichokijua Mungu siku zote huwa anakuwa upande wa wanyonge wanaoonewa, kwa maana kutokana na mipango yao miovu wanayoipanga kila kukicha ili CDM kife, sasa ni dhahiri chama chao ndiyo kitatangulia kwenda "kuudongo" na wataiacha CDM ikiendelea kupeta!!!
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar

They should have seen it coming, they should have read the signs but anyway, anyway I guess it's over..singing
 
Wewe nn Gamba naona imekuuma hii, na bado mpaka ulazwe kwa hofu na stresss...........umepwaya kabisa mkuu.:majani7:
 
Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.WAMPE HATA CHEO CHA KUPIKA CHAI KAMA WALICHOMPA TAMBWE HIZZA.
 
Mleta uzi na ukapimwe akili nadhan hauko sawa.eti kikao lumumba?kipi au kile cha kujikopesha milion 140 ya ruzuku?uliza kilifanyika wp sio kukurupuka,afu mbona kinondon na lumumba mbali we umejichanganyaje?
Unasema mleta uzi akapimwe akili? au kwa sababu kawambia ukweli? Angesema uongo ungesema akili zake zipo sawa,
kajipange ndugu,
 
Jamani nimeshapigwa ban kwaajili ya huyuhuyv Juliana so sitaki hata kumsikia nisije nikalambwa ban nyingine'
 
Binti yangu Juliana nakupa ushauri wa bure. Nenda kwa viongozi wa CDM ukatubu na kuungama kama bado una shauku ya kuendelea na siasa. Kwa lugha za dharau ulizotumia kuwadhalilisha viongozi wako, hakuna chama chochote kitakachokukubali, hata CCM yenyewe, vinginevyo achana na siasa utafute utaratibu mwingine wa kuishi.
 
Hii ni lesson kwa waasi wote.. hakuna namna ya kuuzuia upinzani isipokuwa kusafisha nyumba mliyoichafua.

Kwa mazingira ya sasa, ni vema vyama vya siasa na hasa CCM wakaanza kujikita kwenye ushindani wa kweli; sera & utendaji. Kuendelea kuwekeza kwenye siasa za kimamluki ni kielelezo cha uchofu. Lakini pia CCM waache kuwaharabia future vijana. Mamluki kama Shonza na wenzake watapata shida sana huko mbeleni. Nani atamwamini msaliti? Ni bahati mbaya sana vijana nao wameshindwa kujizuia kuingia kwenye hiyo mikakati!
 
'Nani alimwambia kuwa awe anapambana na John Heche badala ya kumsumbua Dr.Slaa ili CHADEMA iyumbe? Nani alimwambia kuwa nguvu ya CHADEMA ni BAVICHA badala ya Kamati Kuu yao? Huyu Binti(Juliana Shonza) ameshindwa kazi aliyotumwa. Nape na Wassira hawakumwongoza vyema'

Hayo ni maneno ya kada mmoja maarufu wa CCM na Mwenyekiti wa CCM wa sasa Dar es Salaam,Bwana Madabida alipokuwa akichangia hoja katika kikao kimojawapo kilichofanyika leo Ofisi Ndogo za CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.Kikao hicho kilikuwa kikijadili mchango wa Vijana katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

Katika kikao hicho,ilielezwa kuwa Juliana Shonza alipewa kazi maalum ili aiyumbishe CHADEMA kabla ya kutimkia CCM kwa mbwembwe nyingi. Ikazungumzwa kimaamuzi kuwa sasa Juliana Shonza hawezi tena kupewa cheo alichoahidiwa ndani ya UVCCM kwakuwa kazi aliyotumwa ameshindwa vibaya. Sasa Shonza anachukiwa na makada karibu wote wa CCM pale Lumumba.

Wenu,
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar

Hayahaya ndugu wananchi, kumekucha, walisema asemae kesho ni muongo, yangu macho.
 
Hivi Marafiki wa CCM yaani ANC cha South na wao huwa wanatumia mbinu hizi za kibibi kupambana na wapinzani wao?

They differ: CCM 1977
ANC 1912

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Chama Cha Mapinduzi
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Revolutionary Party
Chama cha Mapinduzi
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Chairman
[/TH]
[TD="class: agent"]Jakaya Kikwete
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Secretary-General
[/TH]
[TD="class: agent"]Abdulrahman Kinana
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder
[/TH]
[TD="class: agent"]Julius Nyerere
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Vice Chairman (Mainland)
[/TH]
[TD="class: agent"]Philip Mangula
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Vice Chairman (Zanzibar)
[/TH]
[TD="class: agent"]Ali Mohamed Shein
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Slogan
[/TH]
[TD]Better life for every Tanzanian[SUP]1[/SUP]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded
[/TH]
[TD]5 February 1977 (1977-02-05)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Merger of
[/TH]
[TD]TANU and ASP
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Headquarters
[/TH]
[TD="class: label"]Dodoma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Newspaper
[/TH]
[TD]UHURU
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Youth wing
[/TH]
[TD]Umoja wa Vijana wa CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Women's wing
[/TH]
[TD]Umoja wa Wanawake Tanzania
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Parents' wing
[/TH]
[TD]Wazazi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Membership (2012)
[/TH]
[TD]>5,000,000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Ideology
[/TH]
[TD="class: category"]Ujamaa (African socialism)
Neoliberalism(current)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political position
[/TH]
[TD="class: category"]Left(historically)
Centrist(current)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Colors
[/TH]
[TD]Green
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Seats in parliament
[/TH]
[TD]
258 / 343
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Website
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]http://www.ccm.or.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Party flag

[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]African National Congress
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]President
[/TH]
[TD="class: agent"]Jacob Zuma
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Secretary-General
[/TH]
[TD="class: agent"]Gwede Mantashe
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder
[/TH]
[TD="class: agent"]John Dube,
Pixley ka Isaka Seme,
Sol Plaatje
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]National Chairperson
[/TH]
[TD="class: agent"]Baleka Mbete
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Treasurer-General
[/TH]
[TD="class: agent"]Zweli Mkhize
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded
[/TH]
[TD]8 January 1912 (1912-01-08)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Headquarters
[/TH]
[TD="class: label"]Luthuli House, 54 Sauer Street, Johannesburg, Gauteng
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Youth wing
[/TH]
[TD]ANC Youth League
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Women's wing
[/TH]
[TD]ANC Women's League
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Paramilitary wing
[/TH]
[TD]Umkhonto we Sizwe
(formerly)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Ideology
[/TH]
[TD="class: category"]African nationalism
Democratic socialism
Social democracy
Social liberalism
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Political position
[/TH]
[TD="class: category"]Centre-left to Left-wing
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]International affiliation
[/TH]
[TD="class: category"]Socialist International[SUP][1][/SUP]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Colours
[/TH]
[TD]Black, green, gold
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]National Assembly seats
[/TH]
[TD]
264 / 400
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]NCOP seats
[/TH]
[TD]
62 / 90
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]NCOP delegations
[/TH]
[TD]
8 / 9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Pan African Parliament
[/TH]
[TD]
3 / 5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Website
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]www.anc.org.za
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Party flag
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: label"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: category"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: category"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"][/TH]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom