bunge la wapi?
ninajua tz hakuna bunge
Undiminakuwili wa wanaccm unazidi kujidhihirisha mara baada ya bwana Nape Mnauye kuja na lake kuwa CCM nayo inapinga tozo za simu wadai ni mzigo kwa wananchi.
Najiuliza hivi ccm ni nani????? Na wale ccm wanoitana kupitish bajeti ni ccm ipi?
bunge linakuwepo anapoongea mbunge kutoka chadema , akimaliza kuongea na kukaa bunge nalo linakuwa limekwisha.
Nape jiandae kuondolewa kwenye nafasi yako ya Ukatibu Uenezi kwakweli umeshindwa kuitendea haki.Anyway hivi una habari kwamba waliopitisha hiyo kodi ya kijinga ni Wabunge wa Chama chako?Ila siwashangai CCM kwasababu UONGO ni moja ya mila zenu.Kama mnafikia hatua ya kuwadanganya Watanzania eti FBI wako Arusha kuchunguza tukio la bomu wa Mkutano wa CHADEMA na baadaye kukanushwa na Balozi wa Marekani tutarajie nini zaidi kutoka kwenu?