CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

Unatega mawe njiani
Unarudi nyuma na kufumba macho

unatoka mbio kuelekea kwenye mawe

unajikwaa na kuanguka

Halafu unapiga kelele wapita njia wakusaide kunyanyuka...kumbe walikuona tangu mwanzo ukijitega!!!!!!

Unatamani japo wakuambie mpumb.a.v.u wewe lakini wao ndo kwaanza wako busy na jinsi ya kusafisha njia yao wenyewe ili waitumie kwa manufaa ya wengi

Unaamua kuamka unajifuta vumbi kwa aibu huku ukichechemea na kuondoka zako..wale jamaa ni kama hawakuoni hata kucheka tu kwa vituko vyako hawacheki!!!!!!

Swali; Hivi hii inaweza kuwa kwenye kundi la dharau au ndo watu wako bize na maisha yao???? Au wamekata tamaa na hawataki tena la muadhini wala mkimu swala sababu wanaona zote kelele tuu?????
 
Nami nashangaa. Wabunge wa CCM ndio waliounga mkono kwa wingi hoja hiyo wakati Mgimwa anaiwasilisha. Leo wanapinga kodi hiyo. Wanafiki wakubwa. Wangepinga bungeni, sio mtaani.

wao si wazee wa kupima upepo? kitu kingine kwa CCM wanapenda sana kubwabwaja, ishu imeshatungiwa sheria halau hao hao walioipitisha mahali ambapo walikuwa na uwezo wa kuipinga ndio hao hao wanaanza kulalama, hivi tuwaeleweje? wamechanganyikiwa au ni nini jamani? au wanatuzuga ilituone tuko pamoja nao? huu ni unafiki wa hali ya juu sana.
 
Chama dhaifu huzaa RAIS dhaifu, wabunge dhaifu na serikali dhaifu.
 
pole mkuu!!
Ila ungechagua jibu ungekuwa kwenye mood bomba sana!! natumai nimesaidia kujua ulilotaka, asubuhi njema
SP
 
Ccm wanafki na mandimilakuwili,yani wapitishe wao bungeni alafu leo wanapiga domo kupinga hivi wanatuona sisi majuha,kifo chenu kimekaribia siwapendi ccm mbaya,wanatuchukulia poa sana hawa magamba
 
Chama Cha Majanga sikipendi nahisi kama vile sio cha nchi hii..
 
Wanafilisi Nchi sasa wanaona hawatosheki wamehamia katika kuzifilisi akili zao wenyewe.
 
Hawa watu huwa hawana kumbukumbu na sijui inawezekanaje chama kimoja kinachoongoza serikali moja kikawa na maamuzi yanayojipinga na bado kikajiona kiko salama!

Soma na haya matamko: Mwigulu Nchemba: Tunaupinga uamuzi wa Waziri Kagasheki kuhusu Loliondo na nyingine CCM Ngorongoro kuipinga Serikali kutwaa ardhi
Huo ndio unafiki dhahiri wa CCM!tarehe 19th august tuzizime simu zetu zote kwa saa 24,wape ujumbe na wengine
Undiminakuwili wa wanaccm unazidi kujidhihirisha mara baada ya bwana Nape Mnauye kuja na lake kuwa CCM nayo inapinga tozo za simu wadai ni mzigo kwa wananchi.
Najiuliza hivi CCM ni nani????? Na wale CCM wanoitana kupitish bajeti ni CCM ipi?
Sijui nini kifanyike dhidi ya unafiki wa magamba hawa. Wabunge wao walipitisha gharama hizi, wote wakashangilia kama kawaida yao, leo wanakuja kinyume chake? Huu ni unafiki uliokithiri. Tunaomba cdm ipige kelele zaidi ambavyo imwahi kufanya. Na sapport mgomo wa kizima simu
Nikichekesho kweli kweli,kama kweli Nape anageuka wakati anajua wabunge wake ndio walio itika ndiyooo,hapo napo hapa hitaji majibu yakwenda shule
Usanii huu
 
Chonde chadema msiwe mnatoka bungeni oneni sasa mmetoka wiki tu matatizo kibao wamepiga tu makofi hawa magamba halafu wanatudanganya wanapinga wanapinga nini si wangempinga yule waziri wa fedha anaeongea kama nchi hii yake kwa kiburi hajui atendalo. Chadema mliwaachia fisi bucha wamemaliza nyama
 
Wapi hammy-d, chilisosi aka chris lukosi, juliana mwampamba and the likes, mbona hawachangii hapa
 
Sasa kila kitu wazi.... Waliosema ndiyoooooooooo wanaanza kutaka kusema siyoooooooooo..... Ni ujinga wa ndiyo za idadi wakati hawana hoja

Nakumbuka kebehi zao dhidi ya CDM siku ya kupitisha bajeti. Eti .... "MAANDOMANOO" Leo wanajifanya kulalamika
 
tena walikua wakikebehi sana akiitwa mbunge wa chadema walijibu kama chiriku maandamanoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa naomba watuachie upuuzi wao hapa hatuwezi kuvumilia uchafuwao tena tushaamua sasa tunasonga mbele ndimi na zitawatoka sana bila mafanikio.
mkuu ulisikia tena yule mama Maria Hebishi Hewa alikua anaitikia kwa nguvu tena kwalafudhi ya kisukuma maandamano anakandamiza kabisa
 
Kitu chochote kinapokaribia kufa huwa hakijielewi,hata mtu anapokaribia kufa huwa anajichanganya sana,mara mniletee ugali mkubwa sana lakini ugali ukiletwa anagoma kula badala yake anakata roho anakuacha na ugali wako!
Hao ndio CCM, maamuzi wafanye wao tena wakati wapinzani wao hawapo leo wanapinga kile walichokiamua kweli!!! Sasa CCM kubalini kwamba mmeshindwa kuongoza nchi,mnachokifanya sasa ni copy and paste kutoka kwa Chadema!!!
 
Huyu nape niwakenya au hajui wajib wake au hana tv kwake (jibu) wabunge wake mwenyew wapitishe alaf akatae kwel ccm wamefilicka kisiasa ndo maana wanahonga gas kwa madhamb ya mtoto wao ila wajue malipo ni hapa hapa dunian
 
mkuu ulisikia tena yule mama maria hebishi hewa alikua anaitikia kwa nguvu tena kwalafudhi ya kisukuma maandamano anakandamiza kabisa
yaani hawa waache kutuletea usiku kabisa na lukuvi naye akatoa pumba zake za ki propaganda kama kawaida yake na akamaliza kwa ahadi ya milioni 100 sasa nashangaa nbona hajazitoa na watu wameshatoa ushuhuda kwamba policcm ndio walihusika.
 
Hizi sanaa za CCM sasa ni zaidi ya sanaa,hembu nape atuambie nani waliopitisha hio uamuzi pale dodoma,ni serikali au wabunge wa CCM,na Nape sasa anapinga hizo tozo kama nani,Nape au katibu mwenezi wa CCM?
Imetosha jamani,hembu tafuteni njia nyingine ya kukusanya pesa na kidogo mumuache mwananchi apumue,ninaamini safari za mheshimiwa zikipunguzwa tutakuwa na hela nyingi tu,vikao na magari ya kifahari ya viongozi tutafute jinsi tunaweza kuepuka hizi anasa naamini itamsaidia mwananchi, hali ya kiuchumu si nzuri huku mtaani......nakushauri Nape waambie wenzako hapo lumumba,wananchi wamechoka na hizi siasa za kuvizia upepo unapoelekea.
 
Back
Top Bottom