Ukiwa kiongozi wa jeshi la Polisi tz ni sawa na kuwa kijakazi wa kichaa.
Maana hutofanya mambo kwa utashi wako, ila kwa kuamuliwa na kichaa
Na ukiwa Tendwa (msajili) au ukiwa TIS inakuwaje? Ni balaa!
Ukiwa kiongozi wa jeshi la Polisi tz ni sawa na kuwa kijakazi wa kichaa.
Maana hutofanya mambo kwa utashi wako, ila kwa kuamuliwa na kichaa
Undiminakuwili wa wanaccm unazidi kujidhihirisha mara baada ya bwana Nape Mnauye kuja na lake kuwa CCM nayo inapinga tozo za simu wadai ni mzigo kwa wananchi.
Najiuliza hivi ccm ni nani????? Na wale ccm wanoitana kupitish bajeti ni ccm ipi?
Hata wakati chadema wameenda arusha kwa ajili ya kuomboleza ile misiba kwa kweli bunge lilipwaya
na kila mtu akajua kuwa kuwa mapungufu.
CCM NI KAMBI RASMI YA UPINZANI TANZANIA JAMANI HAMUONI? they not siriaz at all, unafiki mbele wa napengwa!
hilo ni tamko la NAPE kama NAPE au NAPE kama KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI CCM?
Maaana hao ni watu wawili tofauti.
Nape kasema ccm inapinga.............chagu jibu sahihi (a) kasema Nape, (b) kasema katibu mwenezi wa ccm.
(c) nimesoma jiaelewa d) nisaidie tu sijielewi (d) Nilitaka kuweka post
SP
hilo ni tamko la NAPE kama NAPE au NAPE kama KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI CCM?
Maaana hao ni watu wawili tofauti.
Ninachokiona hapa ni kwamba hawa watawala wanaona wanaweza kucheza na akili za watanzania. Binafsi nasubiri kwa hamu kubwa ile tarehe ya watumiaji wote kuzima simu zao kwa siku kadhaa kama sehemu ya kupinga unyanyasaji huu. Kulalamika huku bila matendo hakuwezi kutusaidia. Hebu tuwaonyeshe kwamba na sisi tunaweza na hivyo tunastahili heshima!
tena walikua wakikebehi sana akiitwa mbunge wa chadema walijibu kama chiriku maandamanoooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!leo magazeti mengi yamebeba vichwa vya habari kuwa ccm inapinga tozo la simu la shilingi 100 kila mwezi kwa kila simu iliyosajiliwa. Kwangu mimi huu ni usanii, unafiki na hadaa kubwa kwa watanzania.
Naongea haya kwa sababu ccm, chama kilicho na wabunge wengi katika bunge letu ndio waliopitisha tozo hili, tena kwa kishindo wakati wa kujadili bajeti.
Tena katika kuonesha kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati na walilenga kumkomoa mlipa kodi mtanzania, maamuzi ya kupitisha tozo hili katika simu zetu waliyafanya wakati watetezi wa watanzania, wabunge wote wa chadema walipokuwa katika msiba mkubwa wa wanachama wao waliolipukiwa na bomu jijini arusha. Ccm acheni unafiki kuwahadaa watanzania.