CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

Kwa hiyo CCM wanatafuta kupendwa na wananchi?!! Unafiki mkubwa!!!
 
Huyu NAPE ni mnafiki sana tena uzeeni atakuwa mchawi ina maana hiyo bajeti ilipangwa na serikali ya chama gani? CCM yalivyoishiwa hoja yatasema hilo pendekezo lililetwa na wabunge wa CHADEMA.
 
Maandalizi ya kuwa chama cha upinzani ndio hayoo yanaanza. Maana kama wao ndio wenye serikal wameshindwa kutoa misimamo kwenye vikao vyao sasa inatumia njia zile za upinzani.
 
CCM kulalamikia tozo ni sawa na serikali iliyojipangia tozo kulalamika yenyewe!

Nape hatakiwi kuropoka kama wengine, wao wana serikali, wanatakiwa kufanya maamuzi na si vinginevyo.
Labda kama wamejiandaa kisaikolojia kuwa wapinzani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kuna kipindi wengine tulidhani labda wazee wa CCM wameishiwa mbinu ktk siasa za kisasa kumbe vijana wao ndio balaa kabisa.
CCM fanyeni siasa acheni mazingaombwe.
Mnatufanya mabwege? Kizuri mnajinadi kimefanywa na serikali ya CCM likitokea tukio la ajabu mnaikana serikali yenu?
Ndio maana January Makamba ameanza kufanya siasa zake mwenyewe na si za CCM isiyo na dira inayoongozwa na Mtela,Shonza,Tambwe Hiza,Mwigulu na Nape.

we uliona wapi mbwege akamwongoza mbwege mwenzie na wakafika salama?
acha tuendelee kuona mazingaombwe ya mabwege ktk nchi ya watu wengi tuliosinzia fofofo... huku akina mr/mrs ndiyooooooo wakiendelea kugongagonga meza na kusinzia tu bungeni.
hii ndio daganyika huru bhana kila mtu kwa tumbo lake.
kaaaazi kwelikweli,nape anatuona wadanganyika ni wakuyageuza na kuyabiluabilua kama machapati kwa namna wao wanavyooona inafaaa.
 
Kuna kipindi wengine tulidhani labda wazee wa CCM wameishiwa mbinu ktk siasa za kisasa kumbe vijana wao ndio balaa kabisa.
CCM fanyeni siasa acheni mazingaombwe.
Mnatufanya mabwege? Kizuri mnajinadi kimefanywa na serikali ya CCM likitokea tukio la ajabu mnaikana serikali yenu?
Ndio maana January Makamba ameanza kufanya siasa zake mwenyewe na si za CCM isiyo na dira inayoongozwa na Mtela,Shonza,Tambwe Hiza,Mwigulu na Nape.

hawa jamaa ni watu wa ajabu sana sijapata kuona.
 
Maandalizi ya kuwa chama cha upinzani ndio hayoo yanaanza. Maana kama wao ndio wenye serikal wameshindwa kutoa misimamo kwenye vikao vyao sasa inatumia njia zile za upinzani.
Nami nashangaa. Wabunge wa CCM ndio waliounga mkono kwa wingi hoja hiyo wakati Mgimwa anaiwasilisha. Leo wanapinga kodi hiyo. Wanafiki wakubwa. Wangepinga bungeni, sio mtaani.
 
Kumbe ndiyo maana Nape anaitwa vuvuzela yaani bila kupulizwa hakuna sauti itakayosikika. Tozo ya Sim Card iliratibiwa na serikali ya CCM, ilipopelekwa bungeni ikapitishwa na wabunge wa CCM sambamba na Mb.John Cheyo.Pia wote hao kasoro Cheyo wanatekeleza ilani ya CCM, huyo Nape anawakilisha chama gani au amevurugwa?
 
Last edited by a moderator:
Ushauri kwa Nape Nnauye: hama CCM, unadhalilishwa sasa..... Yaani wao waseme ndiyooooooooo halafu wewe uje uwasemee hapanaaaaaaaa....!!! UJINGA

Ni ujinga kweli.
Kama hakubaliani na maamuzi ya chama chake si aondoke? Matatizo ya wananchi wa nchi hii huwa hayawahusu CCM, wao wako peponi.
 
Leo magazeti mengi yamebeba vichwa vya habari kuwa CCM inapinga tozo la simu la shilingi 100 kila mwezi kwa kila simu iliyosajiliwa. Kwangu mimi huu ni usanii, unafiki na hadaa kubwa kwa watanzania. Naongea haya kwa sababu CCM, chama kilicho na wabunge wengi katika bunge letu ndio waliopitisha tozo hili, tena kwa kishindo wakati wa kujadili bajeti. Tena katika kuonesha kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati na walilenga kumkomoa mlipa kodi mtanzania, maamuzi ya kupitisha tozo hili katika simu zetu waliyafanya wakati watetezi wa watanzania, wabunge wote wa chadema walipokuwa katika msiba mkubwa wa wanachama wao waliolipukiwa na bomu jijini Arusha. CCM acheni unafiki kuwahadaa watanzania.

ni sh 1000 mkuu na sio 100.
 
Taarifa iliyotolewa na ccm kupitia kwa katibu wa uenezi nape wanasema kodi ya simcard ni mzigo kwa wananchi..ninachoshangaa ni hii huruma imetoka wapi wakati wabunge wao ndo walioshiriki kutuletea haya majanga uu ni kutuhadaa wananchi tuwaone mnahuruma na sisi kumbe hamna lolote
 
CCM wameshachizika kwa hiyo tusitegemee lolote la maana. Wabunge wao wanaamua vitu kwa maelekezo, yakiwageuka hawawezi hata kuzitetea hoja. viongozi wa juu wa CCM kila mtu anafanya vyake. Mwigulu anafanya ugaidi hatimaye anakwenda kuongoza kampeni kwa vitisho na mwisho wa siku wanabwagwa.

Ukimwuliza Nape kuhusu matokeo ya Arusha anakwambia hahusiki. ukienda mbele kidogo kuhusu umeya wa Arusha Nape anakwambia CDM wasiote ndoto wa kumwondoa meya aliyepo kwenye kiti eti kwa sababu idadi ya madiwani wa CDM haiwezi kufikia 2/3, lakini anasahau kanuni zilizotumika kumchagua hazikuwa halali.
 
Sasa kila kitu wazi.... Waliosema ndiyoooooooooo wanaanza kutaka kusema siyoooooooooo..... Ni ujinga wa ndiyo za idadi wakati hawana hoja

Yaani bunge letu, sijui wanafanya nimi, bi kiroboto kulazimisha kupitisha kila kitu halafu inakuja kuwa mwiba kwao, ndioooooooo
 
Unajua Nape anafikiri Wtz wa sasa ni wajinga wasiojua kupambanua mabo.huyu jamaa ananikera sana.wkt wanapitisha kule bungeni kwann hakutoa ushauri kwa wabunge wa ccm wasipitishe?iweje leo baada ya kuona wananchi wanalalamika ndipo na yy ajifanye kuongea unazi?huyu kijana akieeka sijui itakuwaje.namshauri ajitambue yy ni kijana aache kutuona kama wajinga ck zote bwana.
 
Sasa kila kitu wazi.... Waliosema ndiyoooooooooo wanaanza kutaka kusema siyoooooooooo..... Ni ujinga wa ndiyo za idadi wakati hawana hoja

nimeipenda hiii hahahahahaaaaa:A S thumbs_up:
 
Nape jiandae kuondolewa kwenye nafasi yako ya Ukatibu Uenezi kwakweli umeshindwa kuitendea haki.Anyway hivi una habari kwamba waliopitisha hiyo kodi ya kijinga ni Wabunge wa Chama chako?Ila siwashangai CCM kwasababu UONGO ni moja ya mila zenu.Kama mnafikia hatua ya kuwadanganya Watanzania eti FBI wako Arusha kuchunguza tukio la bomu wa Mkutano wa CHADEMA na baadaye kukanushwa na Balozi wa Marekani tutarajie nini zaidi kutoka kwenu?
 
Wameshachelewa kwani tayari imeshaingia kwenye maamuzi ya kipuuzi waliyowahi yafanya na imeshawapunguzia credit na kuongeza speed ya anguko lao.
 
Back
Top Bottom