KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,596
- 8,636
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za athari za njaa Ethiopia wasanii maarufu wa kimarekani na wazungu walijikusanya kutunga na kuimba huo wimbo kuichangia Ethiopia Kutokomeza femine kumbuka LIVE AID concerts.
Mo aliishi Tanzania baadae alihamia Kenya alifariki mwaka 1996 baada ya ndege aliyokuwa akisafiria ya Ethiopia Airlines kutekwa na kuanguka baharini.
Lleo miaka 35 baada ya ile njaa Ethiopia inazindua treni ya umeme sisi mwenge unazindua choo Tanga na abiria wanalala pugu kwa kukosa usafiri.
Just imagine! Ethiopia iliyokuwa na njaa mpaka inasaidiwa leo inajenga bwawa kubwa la kuzalisha nguvu za umeme linaitwa Grand Ethiopia Renaissance dam unajua kwa kutumia maji gani? ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria lililopo Tanzania sisi tunalala gizani mgao wa umeme na tuna gesi.
Alafu magufuli anatuambia atatoa computer kila shule wakati kuchimba tu vyoo ni mziki.
Just imagine leo unakuja kuniambia ccm hoyeee! eti Lowassa fisadi ukiichagua CCM unatakiwa ukapimwe akili!