CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,584
8,611
Unaujua wimbo we're the world? Kina Michael Jackson waliimba kuichangia Ethiopia iliyokuwa inachanwachanwa na kusambaratishwa na njaa na ukame watu walikufa pamoja na mifugo hiyo ilitokea mwaka 1984 baada ya mpiga picha maarufu duniani Mohammed 'Mo' Amin pamoja na Michael Buerks kupiga picha za athari za njaa Ethiopia wasanii maarufu wa kimarekani na wazungu walijikusanya kutunga na kuimba huo wimbo kuichangia Ethiopia Kutokomeza femine kumbuka LIVE AID concerts.

Mo aliishi Tanzania baadae alihamia Kenya alifariki mwaka 1996 baada ya ndege aliyokuwa akisafiria ya Ethiopia Airlines kutekwa na kuanguka baharini.

Lleo miaka 35 baada ya ile njaa Ethiopia inazindua treni ya umeme sisi mwenge unazindua choo Tanga na abiria wanalala pugu kwa kukosa usafiri.

Just imagine! Ethiopia iliyokuwa na njaa mpaka inasaidiwa leo inajenga bwawa kubwa la kuzalisha nguvu za umeme linaitwa Grand Ethiopia Renaissance dam unajua kwa kutumia maji gani? ya mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria lililopo Tanzania sisi tunalala gizani mgao wa umeme na tuna gesi.

Alafu magufuli anatuambia atatoa computer kila shule wakati kuchimba tu vyoo ni mziki.

Just imagine leo unakuja kuniambia ccm hoyeee! eti Lowassa fisadi ukiichagua CCM unatakiwa ukapimwe akili!
 
Well said
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko
 
Vipaumbele vya ccm ni wizi...maana kila siku utasikia ni matukio ya wizi..na kipaumbele cha mkuu ni ku explore ulimwengu....
Tunatana mtu mwenye positive vision na hii nchi...ni lowasa pekee
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

We wa wapi wewe? Kila kitu ni kupinga tu!
Mleta mada amejieleza vizuri sana ni mjinga na aside na uelewa atapingana nae.
Kwa huyo nyie Vipaumbele vyenu baada ya miaka hamsini ya Uhuru ni kuzindua vyoo, visima vya maji ya chumvi na kikimbiza mwenge.
 
nile ya ethiopia na victoria ni tofauti. hata hivyo hilo halihalalishi sisi kuwwwa na mabwawa manne tu ya kidatu, mtera, kihansi na nyumba ya mungu na kuzalisha 600MW wakati tuna potential ya 4500MW kutokana na maji tu. kuna miradi mikubwa kama rumakali. songwe na stiegler's imeishia kwenye karatasi. tuna wind na geothermal. kuna haja ya kudeal na hawa mazezeta walafi.
 
kwa hali inavyoendelea taifa linaelekea kubaya sana lau tungechora grafu ungeona kua katika kila nyanja mstari una shuka. na mstari ungeonyesha kupanda kunako matukio ya uzembe wizi rushwa maonezi ukosefu wa ajira urasimu uporaji wa rasilimali za umma huduma mbovu za afya elimu miundombinu maji nishati mipango miji kwa kifupi ili uisifie serikali ya ccm lazima ufumbe macho usiyaone haya
 
We wa wapi wewe? Kila kitu ni kupinga tu!
Mleta mada amejieleza vizuri sana ni mjinga na aside na uelewa atapingana nae.
Kwa huyo nyie Vipaumbele vyenu baada ya miaka hamsini ya Uhuru ni kuzindua vyoo, visima vya maji ya chumvi na kikimbiza mwenge.

amezidiwa na mahabaccm huyo hata magufuli mbona anahutubia kuhusu huo ukweli kwenye hotuba zake?
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko

Ethiopia Ina VIPA-umbele, sisi Tanzania tuna VIPA-unyuma, huwezi kuwa nyuma kimaendeleo ukadai eti tuna vipaumbele vyetu.
 
Vipaumbele vya ccm ni kusafiri na ndege na kukaa first class na kwenda kula bata kila mwezi lazima wizara zisafirishe watu kwenda kula bata mmayo zao mwaka huu mtatutoa roho unakutana na jitu limekaa first class kwa pesa za walala hoi linasafiri kwenda kula pesa za walala hoi ambao tunaitwa malofa inauma sana likirudi linakuta linasubiriwa na v8 ambayo inatumia pesa za walala hoi hapa tuseme imefika mwisho hii nchi ni janga barani Africa ccm imefanya Tanzania inanuka inanuka viongozi wanakula pesa za walala hoi adi wanakosa busara na na marifa !
Ccm hapana !!!
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko
Mkuu lizaboni nakuheshimu ile mbaya, sasa naona unaniangusha tena kwa hoja nyepesi namna hii.Hata kama tunakipenda chama chetu, tulipokosea tu waseme ili wajirekebishe.Kweli imagine,’wenzetu wanazindua tramway’ sisi tunazindua ’toilets’ bado useme habari za vipaumbele?? It means sisi vipaumbele vyetu ni kwenda chooni?? Ooh please, u r better than that.
 
Ethiopia ina vipaumbele vyake. Na Tanzania tuna vipaumbele vyetu. Usitake kutulazimisha tufanye kama wao. Kama hujisikii kuwa Mtanzania ni bora ukaenda huko
Lugha yako ni ya kuudhi.
Watu wana matatizo kibao na nchi yao afu unaleta masihara.Unaongezea watu stress.
 
ccm ni janga la karne nina uhakika kama tukipata chama makini chenye mipango na usimamizi thabiti miaka mitano kitakayoongoza serikali kinaweza kufanya kazi kubwa itakayoifanya ccm isahaulike kabisa kwenye siasa za tanzania ccm wamefanya mengi lakini yote hayalingani kabisa na hali halisi ni sawa na mtu amesoma hadi form six ila ameweza 2 kusoma na kuandika alafu anajisifu aibu ilioje
 
Back
Top Bottom