CCM nyaya zimegusana

CCM nyaya zimegusana

Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?

No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.

Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣

Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣

mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Hiyo inaitwa....Gusanisha......nyama kwa nyama Gusanishaaa - mama weweeeeee
 
wajumbe watu hataree sanasanaa
Cc
sheikh yahya hussein
Rip
 
Fanyeni masihara yenu mpaka mama asuse aseme bora tukose wote anatupitishia rasimu ya katiba ya warioba anawachia tanganyika yenu ikiwa ktk mikono ya upinzani anakwenda kugombea kwao Zanzobar 🤣
Vyovyote iwavyo......we need peace, love and development for our country men
 
Wajumbe hili taifa lipo nyuma yenu muondoeni huyo jini shumileta anayeuza vipande vya nchi kwa kupitia mabega yenu. Kwa mara ya kwanza mtakumbukwa na vizazi hata vizazi kwa kuliondoa hilo jimama ambalo haliwaonei hata aibu huku nyinyi mkizificha kende zenu mbele yake. Mumuondoe bila kumuonea aibu na mumewe kikwete kamateni weka ndani
Usikute mama wa watu hata Hana Matatizo shida ni walio muweka hapo ktk siasa unaweza kumuona Kiongozi wa nchi ana nguvu kumbe waliopo nyuma yake ndio wenye nguvu zaidi yake na Wana mtisha kuwa akiachia madaraka wata muua yeye au Kizazi chake au watamfilisi ,


So sad 😢 to her
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom