CCM nyaya zimegusana

CCM nyaya zimegusana

Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?

No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.

Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣

Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣

mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Hamuna Hoja.... Mkumbusheni huyo Polepole na nyinyi Bendera Fwata Upepo
 
1752914034872.jpg
 
Nilidhani ndani ya wajumbe wote akili zilezile kumbe wenye maono na taifa hili bado wapo. Wanaelekea kulikomboa taifa sasa hv na hii ndo tafsiri halisi ya mapinduzi
We umewahi sikia wenye akili walio ndani ya CCM wanamjibu Gwajima au Polepole?
Utasikia anayejibu hoja za Polepole ni Stevene Nyerere au Jimmy Mafufu na humu JF Lucas Mwashambwa 🤣🤣🤣
 
Kwamba nin
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?

No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.

Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣

Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣

mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888

Kwamba ni Phree phase faulty L-L aha 😆 🤣 😂 😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom