Bosi wake yaani!Zandani zinasema sa100 amesusa na hataki tena, makombora yamemuelemea msoga anakula kupitia mgongo wake. sasa anaona bora akalee tu wajukuu awaachie kiti chao
Upupu!Mimi sio mwanasiasa Wala sitegemei maisha kwenye siasa Sasa hapa unadhani hizi habari zitaniathiri Kwa lipi?
Pia msopende uzushi mtakuja kuumbuka.
Mkeka wake bado unapumua.✍️🤝Nawakumbusha tu tusimshau SHEIKH YAHYA
Chawa!Mmeingizwa cha kike. CCM ni michezo yao kuwazuga.Hii yote ni michezo.
Hakuna uchaguziHakuna reforms
Naona leo umekuwa mpole na unajikataaMimi sio mwanasiasa Wala sitegemei maisha kwenye siasa Sasa hapa unadhani hizi habari zitaniathiri Kwa lipi?
Pia msopende uzushi mtakuja kuumbuka.
Na mabeki wanajichanganya sana, kuna dalili za kutoa assist kwa adui atie mali nyavuni dakika ya 97 ya mchezoMkeka wake bado unapumua.✍️🤝
Napata hisia hata Mbowe kutolewa Lissu alipata msaada wa Mfumo maana sio kwa kujiamini vile na kwa mda mfupi kiasi kile,maana sasa hivi Mbowe kanuna kweli kweli haamini kilichotokeaLissu ni mtu hatari sana.
Chaguzi Kuu zote za Tanzania ni huru na haki.Wewe ulokuwa hujui kwamba hautakuwa huru na wa haki? Kamwambie msajili na hili ili aandike barua kwa mungu
Hujui lolote kuhusu uchaguzi huru na wa haki wewe ni chawa!Chaguzi Kuu zote za Tanzania ni huru na haki.
Kwenye political, social and economic issues haitarajiwi wote tuwe na mawazo yanayofanana!Hujui lolote kuhusu uchaguzi huru na wa haki wewe ni chawa!
Ila kuna principles za kukubaliana kutofautiana. Mfano uchaguzi huru na wa haki unazingatia mambo gani. Yapo? Kama hayapo tunapaswa tukubaliane.Kwenye political, social and economic issues haitarajiwi wote tuwe na mawazo yanayofanana!
Nani kakuaminisha matokeo yakipingwa mahakamani ndio uchaguzi unakuwa huru na haki?Ila kuna principles za kukubaliana kutofautiana. Mfano uchaguzi huru na wa haki unazingatia mambo gani. Yapo? Kama hayapo tunapaswa tukubaliane.
Je mgombea wa ccm/ raisi kuteuwa wakuu wa tume inayosimamia uchaguzi anaogombea yye ni sawa!?
Matokeo kutopingwa mahakamani ni swa?
Mgombea wa ccm kujipitisha ni sawa?
Mm nimekupa mfano tu. Nimetaja mambo meengi lakini unajenga hoja kwenye hilo la Mahakama.Nani kakuaminisha matokeo yakipingwa mahakamani ndio uchaguzi unakuwa huru na haki?
FafanuaLissu ni mtu hatari sana.
Imekula kwaoHakuna reforms