CCM nyaya zimegusana

CCM nyaya zimegusana

ni mm kaka litarudi soon kwanza baada ya mwamba kukaa
Ni sawa, mkuu wangu 'Stakehigh', vyovyote na itakavyokuwa; 'our common denominator'', ni hii Tanzania yetu sote.
Take a few moments to reflect on that.
 
Wanaotaka Reforms ndani ya CCM ni wengi sana na walio na nguvu, tatizo kubwa ni mfumo wa ukweli na uwazi haupo CCM, pamoja na suala la "kofia mbili" ambalo linatumika kumfunga mdomo yeyote ndania ya chama na nnje ya chama kwa atakayekuwa "anawashwawashwa".

Kumepatikana njiti ya kiberiti na mafuta na mtu mmoja wa kuanzisha moto, sasa pori linaenda kuteketezwa.
Uunguze hata vimapango vyao wanavyojifiichaaammo.
 
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?

No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM.

Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣

Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣

mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Nimeandaa madumu kumi ya petroli Nasubiri tu moto ulipuke nikasaidie chama changu kuuzima!
 
Usikute mama wa watu hata Hana Matatizo shida ni walio muweka hapo ktk siasa unaweza kumuona Kiongozi wa nchi ana nguvu kumbe waliopo nyuma yake ndio wenye nguvu zaidi yake na Wana mtisha kuwa akiachia madaraka wata muua yeye au Kizazi chake au watamfilisi ,


So sad 😢 to her
Hizi ni excuse zinazotumika na regime apologists. Kama kiongozi ukiona Kuna mambo hukubaliani nayo basi unaachia ngazi
Pili, kwa katiba yetu ni uongo kusema Kuna watu wanaweza kutenda pasipo wewe kiongozi kutaka
 
Wajumbe hili taifa lipo nyuma yenu muondoeni huyo jini shumileta anayeuza vipande vya nchi kwa kupitia mabega yenu. Kwa mara ya kwanza mtakumbukwa na vizazi hata vizazi kwa kuliondoa hilo jimama ambalo haliwaonei hata aibu huku nyinyi mkizificha kende zenu mbele yake. Mumuondoe bila kumuonea aibu na mumewe kikwete kamateni weka ndani
Umesema mumewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom