CCM na mkutano Temeke mwisho

CCM na mkutano Temeke mwisho

Ha ha ha.. Nape hajamaliza lakini akina dada wanaanza kukimbilia kwenye mabasi.. Wanawahi nafaci..
Hahahahaaaaaa uuuuwii,mbavu zangu mie,kumbe zile buku kumi kumi zishaisha wanaenda zao kwao hawajui hata agenda za mkutano wenyewe,hongera sana mkuu sosoliso kwa taarifa nzuri,ee M/Mungu wachape kiboko kimoja hawa wauaji masisiem mpaka yajute kucheza na umma
wa watanzania.
 
Sasa Nape anaposema Chadema ni ya Kaskazini akienda Arusha na Moshi atawambiaje?Mwampamba kwanini unaeneza sumu ya ukabila?haujui kumbukumbu zitakuanika?kama umeondoka Chadema...sema tu ni kwa sababu ya sera mbovu zao kama ni kweli,na upo CCM sbb umeridhika na sera zao!haya ya udini na ukabila yaacheni jamani
 
Sasa kama wamebeba watu si wangewapeleka ukumbini wafanye semina mzee wa iyena iyena hajazi watu
 
ccm wanafanya mkutano hapa temeke mwisho.. Uwanja ule ule ambao cdm walifanya mkutano last week..
Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe.. Kisa hakuna walichokifanya majimbo ya huko..
Mgeni wa heshima ni nape.. Naona kuna waziri maghembe hapa.. Na wabunge wa ccm wa mkoa wa dar...

asanta sana mkuu
 
barabara hazijajengwa na CCM bali ni kodi za wananchi.
CCM wana miradi gani ya kutujengea barabara? wao ndio wakusanya kodi?
acheni kuongea kama vile mnaongea na mtoto wa darasa la kwanza
QUOTE=sosoliso;5706608]..Wanasema ccm haijafanya kitu.. Wamepita kwenye barabara gani..[/QUOTE]
 
Chadema ni chama cha kiharakati.. Katibu mkuu amekigeuza chama kama saccos.. Ndo maana anajikopesha halafu anatudanganya milion 20 wakati alijikopesha milion 140.

mi nilifikiri ameiba kumbe amekopa.
 
Chadema ni chama cha mungu mtu.. Kamati kuu ina wajumbe 14.. Mwenyekiti anateua nusu.. Mnyika anadanganya amemaliza form six tu.. Hajaenda chuo kikuu.. Dr Slaa ni fisadi.. Amefisadi mradi wa karatu...

kumbe huyu dogo ni mjinga hivi!
 
Sioni uwezekano wowote wa CCM kupata hata 20% ya kura zote mwaka 2015.

Kwa sasa CHADEMA wamekaza kila kona iwe mjini au vijijini.
Embu tazama mwenyewe mambo kama haya;

1/Huu mkutano ni wa CCM lakini agenda kuu ni dhihaka dhidi ya Chadema.Why so?

2/Nape anasema kila mahali CHADEMA watakapokwenda kufanya mkutano wiki inayofuata nao CCM watafanya mkutano hapo hapo. Why so?

3/Habari za CHADEMA kwa sasa zimetawala kila mahali iwe Bungeni, Mtandaoni, Radioni, Tv, Magazeti, Mitaani, Vyuoni nk. Why so?
 
Sasa CCM nao kama si kupoteza muda ni nini? Yaani wameleta watu wao wenyewe halafu wanaanza kuwahutubia? Hivi unataka kuboresha au kubalisha tabia za watu katika kijiji, unachukua watoto wako nyumbani kwako kwenda nao uwanjani na kuanza kuwahutubia halafu unasema ulifanya mkutano na wanakijiji? Kweli CCM hamnazo! Mnajitekenya na kucheka wenyewe?
Dah! Umenichekesha sana kamanda..
 
Msemaji mmoja anadai chadema wameshindwa kufanya mkutano ubungo au kawe kwa kuwa wangepigwa mawe....
....
Labda wawatumie jamaa wenye vitu vyenye ncha kali.......watoto wa mzee mwema si ndio zaooo ......
 
Mkutano ni wa ccm lakini chadema inatajwa.. 10 kwa 1..
ndio upuuzi wa ccm....kama jana lile kubwa jinga ndugai...badala ya kuaticky kwenye motion yeye cdm ndio wamekaa mdomoni...wakitaja cdm wanatekenyeka makalioni mwao...
 
Nnape, unasahau kuwa Mwenyekiti alisema kuwa Chadema ni chama cha msimu, sasa na wewe unaanza kurudia yale yale ya kwake ........
Hao huwa wanajiropokea tu, can you imagine alisha kubaliana na kashilila bunge lisirushwe live sababu eti hasubuhi watu wanakuwa kazini na jioni wanakuwa wamepumzika hivyo live transmition haiana watazamaji! Muulize msimamo wake ni upi sasa hivi.
 
Hili la udini ccm tutaiweka kwenye rekodi, wanachokifanya ni unajisi kwa taifa letu..wana mambo mengi ya kuzungumza kwa mfano chadema walizungumzia udhaifu wa spika, maendeleo ya mji wa dar, vurugu za mtwara nk lakini mwisho wakakemea sana suala la udini, lakini Ccm wanathubutu kumleta secretary kwa sabbu tu ya dini yake ili wamtumie kama mfano wa udini wa Chadema..
Hawa watu wana laana, hamu ya kutaka kuendelea kutawala ipo juu ya fikra za ubinadamu!
 
Sasa Nape anaposema Chadema ni ya Kaskazini akienda Arusha na Moshi atawambiaje?Mwampamba kwanini unaeneza sumu ya ukabila?haujui kumbukumbu zitakuanika?kama umeondoka Chadema...sema tu ni kwa sababu ya sera mbovu zao kama ni kweli,na upo CCM sbb umeridhika na sera zao!haya ya udini na ukabila yaacheni jamani



mi nadhan ifike sehemu sisi wananch (waislam kwa wakristo) kuwapopoa mawe wanaohubir udini na ukabila badala ya kutuelezea namna gan wana sera nzur za kutatua matatizo sugu ya maji,barabara, huduma duni za afya.
wanatupeleka kubaya hawa watu na siasa zao za njaa ya tumbo
 
sijui wasioamka kifikra hao. wanadanganywa tu hapo. ccm hawana hoja kwa sasa ni kueneza uwongo tu.
 
All in all wakuu wananchi wengi (ukiondoa wale waliokuja kimaslahi) wamelalamika kwamba mkutano ulikuwa ni kuhusu Chadema tu.. Kwa mfano kuna mwananchi ambae alimuuliza Makamu mwenyekiti wa kamati ya kudumu wakati mkutano umeisha kuhusu tuhuma za mradi wa mabomba ya wachina kutokufanya kazi.. Na hivyo kupotea kwa hela nyingi.. Alichojibu ni kusema huo ni uongo.. Very simple na hakutaka mazungumzo..
 
Back
Top Bottom