CCM na mkutano Temeke mwisho

CCM na mkutano Temeke mwisho

Siasa za kujibzana wala hazinaga mpango nashangaa hao wanaojiita maprof wanaendeshwa na mtu mwenye akili fupi(NAPE)yeye itakuwa ndo ametoa akili hyo ya kuandaa mkutano hapo eti ili kujb hoja za CDM!maprofesa wa ccm wote sisi huk mtaani tunawaita maprofesa MAVI,,,,
 
Ukipima u-profesale wa maghembe na elimu ya kawaida ya Mnyika kwenye kuwasilisha na kujenga hoja naona tofauti kubwa sana ya maono na mantiki. Huenda hiyo phd ya AVAE ni ile watoto wa mjini wanaita pure head damage (phd).

Hivi Maghembe ndo amesomea miti na matawi yake au ni mwingine,!? nikumbushenh.., ki ujumla katika hoja ya maji Ubungo na kwingineko ni kuwa serikali inazidi kujivua nguo, na katika hili wameumbuka vibaya
 
Maji muhimu tuondoe siasa hapo.

Toka kwa MrArsenal


Kama nipo sahihi tuliambiwa tatizo la maji kuwa historia 2013 sasa imeshakuwa 2014!? Muda si mrefu tutaambiwa 2016, nadhani ili suala mbali ya upungufu wa maji kuna watendaji wanakwamisha kwa njia moja au nyingine.
Mimi naishi salasala ajabu maji yanapita kwenda mjini tunaambiwa eti watu wa salasala maji hayawezi kupanda, tunashindwa kuelewa yanatokaje ruvu, au ruvu ni mtelemko hadi Dar! !?, yanapandaje kwenye magorofa? tatizo huku mpaka goba kuna malori kibao ya kuuza maji nadhani wakiondoa tatizo au kupunguza biashara ya maji itakufa na inavyoonekana inawanufaisha wengi, dawasco boko mjiandae tumechoka yale ya kihonda muda si mrefu yataibukia hapo, inavyoonekana watendaji wa serikali hii wengi mpaka washinikizwe.
 
Mkuu kijana wenu kumbe ni wa mwembeni!
Hoja yake imejibiwa kirahisi sana.

Upi wa mwemben waziri au mbunge?Jibu la hoja ni uwepo wa maji au kazi ambayo inaonekana si miujiza kama waziri asemavyo.Waziri mtupu hajajibu hoja ni blabla tu,tumia akili yako acha kunakili kila kitu.
 
Ukipima u-profesale
wa maghembe na elimu ya kawaida ya Mnyika kwenye kuwasilisha na kujenga
hoja naona tofauti kubwa sana ya maono na mantiki. Huenda hiyo phd ya
AVAE ni ile watoto wa mjini wanaita pure head damage (phd).

msalimie Zumbemkuu
 
Mkutano wa uhakika ni ule ambao watu wanekwenda wenyewe bila kusombwa wala kuandaliwa viti!!!!
 
Niliona gari moja ikiwa na bendera na skafu... Ila ninasema ukweli kabisa nilibahatika kumuona mtu mmoja tu akinunua bendera na kujifunga.. Kanda sikuona kabisa..

Mkuu Kanda nilikuwa namahanisha kama cdm walivyojipanga ilikuzunguka nchi kirahisi na siyo Kanga.
 
wewe mbwiga nini? tatizo sio kujibu hoja kirahisi bali tunataka maji sio mipasho
Mbwiga mke wa babiyo, mmepatikana baada ya kugundulika kumbe makelele yote ni maji moto tu, hayaunguzi hata nyasi!
 
Upi wa mwemben waziri au mbunge?Jibu la hoja ni uwepo wa maji au kazi ambayo inaonekana si miujiza kama waziri asemavyo.Waziri mtupu hajajibu hoja ni blabla tu,tumia akili yako acha kunakili kila kitu.
Mkuu tusiandikie mate wakati wino upo, hebu lete vivuli vya vyeti vya kijana Mnyika ili tuvichambue, ndiyo maana miongozo mingi, anakwenda na maji sasa.
 
..Wanasema ccm haijafanya kitu.. Wamepita kwenye barabara gani..

Acha ujuha wewe hizo ni kodi zetu na tena tunadai zaidi ya hapo. mmetumia kodi zetu bado hazijawatosha sasa mmeongeza deni la Taifa mtalilipa mkiwa jela hatuawaachi!! Acheni kuwahadaa wananchi hamjafanata lolote zaidi ya kuiba?
 
Chadema wanabaguana sana.. Chacha wangwe yuko wapi..? Unataka uendelee utaendelea vpi wakati unawatafuna wattoto wako..? Shonza na mtela kwa kuwa wanatoka mbeya na sio kilimanjaro umewaponza..

Ccm wanaendelea kuchezea misingi ya kitaifa kwa propaganda za kisiasa!
 
Acha ujuha wewe hizo ni kodi zetu na tena tunadai zaidi ya hapo. mmetumia kodi zetu bado hazijawatosha sasa mmeongeza deni la Taifa mtalilipa mkiwa jela hatuawaachi!! Acheni kuwahadaa wananchi hamjafanata lolote zaidi ya kuiba?

Mkuu uwe unasoma post na comments zinazofuatia ili unapo-comment uwe unaelewa unachokichangia.. Hizo zilikuwa ni nukuu toka kwa Nape & Co..
 
Mkuu Kanda nilikuwa namahanisha kama cdm walivyojipanga ilikuzunguka nchi kirahisi na siyo Kanga.

Mkuu cikukuelewa pale.. Ila kwa mujibu wa Nape wao watapita sehemu zote ambazo Chadema watapita ili kuondoa sumu (wanavyodai)..
 
Mkuu cikukuelewa pale.. Ila kwa mujibu wa Nape wao watapita sehemu zote ambazo Chadema watapita ili kuondoa sumu (wanavyodai)..

kwa maana nyingine wao ratiba yao inategemea ratiba ya CDM? kweli akili ndogo inaongoza akili kubwa!
 
Barabara ndio mnajua... maji je? mnakazania mnyika, mnyika mnataka mnyika atoe hela zake mfukoni asambaze mabomba na maji ilhali wananchi wanalipa kodi kwa ajili ya hayo?
 
hivi kwa mawazo yako picha itakayopigwa na pro chadema itaonyesha kwenye watu? mbona tunawajua siku nyingi? na chadema kama hawana watu utawaona wanapiga viongozi tu. magwanda bana!

Akili iliyofikia Menopause ni hatari sana, Kwani wenye uwezo wa kupiga picha na kuziweka hapa ni Pro-CDM peke yao?...Nilitegemea ninyi vijana wa Nape na Lameck ndo mngekuwa wa kwanza kutuwekea picha za kutuonyesha umati wa watu waliohudhuria mikutano yenu mkuu...au ma-lorry haya kupewa mafuta?...
 
Back
Top Bottom