CCM na mkutano Temeke mwisho

CCM na mkutano Temeke mwisho

Chadema tuliwapuuza tukadhani ni watoto.. Wakikua wataacha.. Sasa sasa nitakula nao sahani moja.. Wakiweka mguu mahali na mie ninakuja hapo.. Chadema wana akili za jogoo.. Wanataka kujilinganisha na ccm.

Masikini hajui kwamba sasa hivi Chadema imejigawa katika kanda kumi.Sasa sijui ataenda wapi na ataacha wapi.Poor Nape!
 
Chadema wanabaguana sana.. Chacha wangwe yuko wapi..? Unataka uendelee utaendelea vpi wakati unawatafuna wattoto wako..? Shonza na mtela kwa kuwa wanatoka mbeya na sio kilimanjaro umewaponza..

Na yule aliyefukuzwa leo UVCCM ni kutoka Kilimanjaro Makonda , so wao wanabagua na sie tunabagua?
 
Anasema Chadema wanapenda vurugu na ndo maana watu wanakufa.. Anawaambia askari watunze amani kama hawawezi wakae pembeni ili wamuweke anaeweza kulinda amani.. Anatoa mfano wa kwenye biblia unaomhusu mfalme suleiman..
 
Chadema ni chama cha ukanda na kidini.. Iliundwa tume.. Katika wakuregenzi wanane.. Wanne wametoka kilimanjaro.. Minutes zimo humu (ameshika kijitabu)..



kama ushuhuda wa makanisa ya miujiza na dunia ya sasa
 
Sosoliso kama nakuona vile mkuu, hongera sana ata mimi nimefika hapa nimekula tshirt ya Chama mpya nipo pembene mwa mauchafu ..... kweli yote uliyoyatupia ni ya ukweli idadi ya watu yani ni bora wangetafuta ukimbi ingekuwa poa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa..


Kweli ni mwaka wa peoplessssss power, na nape fata na kibaha lissu yupo pale leo.
 
Ha ha ha.. Nape hajamaliza lakini akina dada wanaanza kukimbilia kwenye mabasi.. Wanawahi nafaci..
 
Yaani kweli ccm inazidi kujizika, yaani mkutano mzima kila atakayepanda jukwaani ni CHADEMA CHADEMA CHADEMA , waache waendelee kuitangaza CHADEMA
 
Chadema wanabaguana sana.. Chacha wangwe yuko wapi..? Unataka uendelee utaendelea vpi wakati unawatafuna wattoto wako..? Shonza na mtela kwa kuwa wanatoka mbeya na sio kilimanjaro umewaponza..

Mbona marais watano wa nchi hii wanatoka ukanda moja, Pwani na Zanzibar????
 
Ha ha ha.. Nape hajamaliza lakini akina dada wanaanza kukimbilia kwenye mabasi.. Wanawahi nafaci..

Mkuu nimefatilia updates zako zooote, nashangaa CHADEMA ndo ilikuwa agenda ya mkutano na sio kero za wanadarisalam! yaani mababa na vitambi vyao walijikusanya kuinanga CDM.....kweli naamini Mungu anatufanyia kitu CDM, Sidhani kama ni bahati mbaya
 
Sasa CCM nao kama si kupoteza muda ni nini? Yaani wameleta watu wao wenyewe halafu wanaanza kuwahutubia? Hivi unataka kuboresha au kubalisha tabia za watu katika kijiji, unachukua watoto wako nyumbani kwako kwenda nao uwanjani na kuanza kuwahutubia halafu unasema ulifanya mkutano na wanakijiji? Kweli CCM hamnazo! Mnajitekenya na kucheka wenyewe?
 
Mkutano wa CCM unaanza mpaka mwisho topic niCDM tu!!!! Wamewapotezea muda wakazi waTemeke.
 
Mkuu hii cimu yangu inasumbua kurusha picha lakini nimeshapiga picha kibao hapa.. Labda mods kama wanaweza kunisaidia..

Hahahaha Ndugu umenifurahisha, ati simu yako haikamati rangi ya kijani
 
Wanasema sasa hivi Chadema wakiweka mkutano na wao wiki inayofuatia wao (ccm) wanakuja kufuta wanachodai matuci na kebehi...

Anaingia sasa Madabida (mwenyekiti wa ccm Dar).. Mwenye kashfa ya kuuza arv fake..

waendelee kufuata fuata nyuma kama kambwa kakizungu kanavyo mfuata bwana wake.
 
Nilisha sema humu kila siku kuwa wakina Nape Nnauye na ccm ni waasisi wa vurugu za kidini na wao ndio wapanda chuki kwa wananchi!

Ccm wanafikiri wanapo tumia dini, ukanda na makabila kuitusi chadema wanafikiri madhara yake ni kwa chadema tuu kumbe ni taifa zima na matokeo yake tunayaona kila hiitwapo leo!

Nilishangazwa na kauli za jk za kukemea wanasiasa kutumia dini kuwagawa watanzania wakati anajua fika chama chake ndio kinara wa hizi propaganda na naona leo wameona madhara hayajatosha sasa wakiongozwa na Nape Nnauye wameendelea kuhubiri udini!

Nape Nnauye hii dhambi haitamuacha mtu na haitakuwa na mshindi kabisa, utatoa meno jukwaani kwa kufikiri umeimaliza chadema kumbe unaimaliza jamii na kuhimiza utengano kabisa!

Mtatumia rasilmali nyingi kutatua matatizo ya kidini lakini dhambii hii ya kuwagawa watanzania haita waacha kamwe!

Naona hamjatosheka kuona damu za watanzania zikimwagika huku nyie mkichekelea!

Mli hubiri sana Cuf chama cha kidini mkaona madhara yake na bado mme hamia kwa chadema na bado hamjachoka kuona taifa linakuwa vipande vipande!

Pengine ccm ndio mnaongoza kumdharau rais jk kuliko wengine kwani sikutegemea mgeendeleza hizi propaganda zinazo sababisha watu wapoteze maisha!

Kwenye hili hakuna mshindi!
Chadema ni chama cha ukanda na kidini.. Iliundwa tume.. Katika wakuregenzi wanane.. Wanne wametoka kilimanjaro.. Minutes zimo humu (ameshika kijitabu)..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom