Namtumia salamu Mnyika.. 2015 jimbo la Ubungo tunalirudisha ccm..
Mkuu kuna mabasi ya wanafunzi hapa.
Wanasema sasa hivi Chadema wakiweka mkutano na wao wiki inayofuatia wao (ccm) wanakuja kufuta wanachodai matuci na kebehi...
Anaingia sasa Madabida (mwenyekiti wa ccm Dar).. Mwenye kashfa ya kuuza arv fake..