..Kuna kijana mmoja nikimtaja hapa ntampa sifa.. Ni kijibunge cha ubungo kinajidai ati kwake wamepandisha bajeti ya barabara..
Anaongea Shonza sasa.. Ameshakabidhi tunguli (kadi) kwa kikwete..
Chadema ni chama cha ukanda na kidini.. Iliundwa tume.. Katika wakuregenzi wanane.. Wanne wametoka kilimanjaro.. Minutes zimo humu (ameshika kijitabu)..
Chadema wanapiga kelele safari za mama Salma kuzunguka mikoani wakati mchumba wa Slaa anazunguka na analazimisha kupokewa na anafanya kampeni ili awe mwenyekiti wa Bawicha..

Kapandishwa mwanamke mmoja.. Anadai kanyanyaswa.. Anadai alikuwa ps pale makao makuu chadema.. Amefanya kazi miaka 9.. Saum kizena anaitwa... Anadai kafukuzwa.. Kanyimwa ruzuku.. Kazalisha wabunge wote na kutoka ruzuku milioni tano mpka milioni 200 na ushee.. Anadai chama kinajifanya kinatetea wanyonge..