sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
- Thread starter
- #201
kwa maana nyingine wao ratiba yao inategemea ratiba ya CDM? kweli akili ndogo inaongoza akili kubwa!
Yap Mkuu KOMBAJR.. Yaani wao kazi yao ni kupita walipopita Chadema na kuwaelezea udini na ukabila wa Chadema badala ya kuwaelezea wananchi ni kwanini mpaka leo bado maji hayapatikani.. Nikuambie kitu Mkuu.. Ujinga walioufanya Jumamoci kwenye mkutano wao pale umewakacirisha sana wananchi.. Jumapili ijayo tunategemea kuzindua matawi ya Chadema kama kumi hivi pale maeneo ya temeke mwisho.. Nadhani hili litakuwa ni jawabu tosha kabisa kwa Nape & Co..