CCM na mkutano Temeke mwisho

CCM na mkutano Temeke mwisho

Amepiga mahesabu mpaka ameniacha hewani Maghmbe hapa.. Ila anasema ifikapo march 2015 kutakuwa na ziada ya galoni zaidi ya milioni 50 ..
 
Maghembe anatoa namba za simu ili wananchi watoe taarifa juu ya wizi wa maji..
 
Maghembe anaanza kwa kusema serikali ina miradi sita.. Ndani ya kipindi kifupi.. Kuanzia 2014 - 2030.. Tatizo la maji litaisha.. Mradi mkubwa ulitengenezwa wakati wabunge wote wa ccm.. Anamnukuu Zungu "kuchekelea mimba mtoto ccm".. Mradi utafunguliwa ruvu na Kikwete..

Hivi mradi wa muda mfupi ni miaka mingapi? Tena uwe ni wa kijamii kama maji na wa muda mrefu ni upi? Kumbe ni miradi ya 2014 .......kulikuwa hakuna mpango wa kutekeleza kumbe ni miradi ya kutafutwa kuanzia mwaka kesho....
 
Hayo majimbo wanayoyatamani,wameyafanyia nn miaka yote 50 waliyoyakalia???Kama mpaka leo kitu muhimu kama maji bado ni shida,peche zao ni za nn?Wakafie mbali kwani hao ni sawa na sumu kwa watanzania.
 
Mkuu sosoliso tunataka kujua idadi ya watu waliohudhuria ukilinganisha na mkutano wa Chadema
 
Last edited by a moderator:
Maghembe anamuita makamu wa mwenyekiti wa kamati ya kudumu kuthibitisha kama aliyoyasema kama ni ya kweli.. Nae anasema ni kweli na anasema Mnyika ni mbaya wa kukopi na kupesti..
 
Nape sasa anamalizia.. Anasema Chadema kazi ya kulialia tu.. Tumewapa fursa ya kusaidia matatizo kumbe kazi yao kulalamika..
 
Chadema wamefanana na Nguruwe.. Wakiwa na njaa wanakula watoto wao..
 
Chadema wamefanana na Nguruwe.. Wakiwa na njaa wanakula watoto wao..

Hivi alishapata ndugu zake ......huyu nae anaenda Temeke kuwatukana watu wa Temeke ambako anajua kuwa ni Waislamu .... Anataka kutuambia nini huyu?
 
Mkuu sosoliso tunataka kujua idadi ya watu waliohudhuria ukilinganisha na mkutano wa Chadema

Mkuu Molemo viti vya kukalia vya plastic havijajaa.. Ule uwanja kama ulikuja hapa.. Umepangwa viti nusu uwanja na viko wazi.. Nashindwa kutuma pictures kwa kuwa cimu yangu inasumbua.. Ila ninazo humu..
 
Last edited by a moderator:
Nape anadai bunge litaendelea kuonyeshwa na anawaambia wananchi wataona kama Chadema hawatagomea bajeti.. Baadae zikipita wanakuja na kimbelembele wanadai wamepitisha.. Wanachekelea mimba wakati hawajui mimba imetungwa lini..
 
Mkuu Molemo viti vya kukalia vya plastic havijajaa.. Ule uwanja kama ulikuja hapa.. Umepangwa viti nusu uwanja na viko wazi.. Nashindwa kutuma pictures kwa kuwa cimu yangu inasumbua.. Ila ninazo humu..

Ahsante sana mkuu sosoliso tena si ajabu hao watu wameletwa na malori kutoka Lumumba
 
Last edited by a moderator:
Chadema tuliwapuuza tukadhani ni watoto.. Wakikua wataacha.. Sasa sasa nitakula nao sahani moja.. Wakiweka mguu mahali na mie ninakuja hapo.. Chadema wana akili za jogoo.. Wanataka kujilinganisha na ccm.
 
Nnape, unasahau kuwa Mwenyekiti alisema kuwa Chadema ni chama cha msimu, sasa na wewe unaanza kurudia yale yale ya kwake ........
 
Chadema wanabaguana sana.. Chacha wangwe yuko wapi..? Unataka uendelee utaendelea vpi wakati unawatafuna wattoto wako..? Shonza na mtela kwa kuwa wanatoka mbeya na sio kilimanjaro umewaponza..
 
Back
Top Bottom