ccm wana serikali chadema ndio anajindaa kuchukua dola ni haibu kwa chama kilichopo madarakani.kufanya kila wanachoona cdm imefanya na wao wanaiga yaani wamekabwa kweli kweli.ndio matokeo ya kulala usingizi na kukumbuka kujifunika wakati wa hasubui.hofu ya nini kuitisha mkutano tena palepale cdm walipofanya.ushauri wangu kwa ccm mikutano haisaidii watanzania.tunataka maendeleo hatutaki hadithi hadithi.
Zungu anadai walifanya ziara mwezi wa 10 wakiwa na Mnyika na Mdee kwenye miradi ya maji.. Wao (chadema) wanachekelea mimba wakati mtoto ni wa Chadema..
Mtela Mwampamba ndie ninaemuonea huruma, Juliana atakua chakula ya wakubwa, ataendelea kuishi, MM atakua chakula ya waheshimiwa? watatumika halafu watatelekezwa mapemaaaaa
Mtela Mwampamba ndie ninaemuonea huruma, Juliana atakua chakula ya wakubwa, ataendelea kuishi, MM atakua chakula ya waheshimiwa? watatumika halafu watatelekezwa mapemaaaaa
ccm wana serikali chadema ndio anajindaa kuchukua dola ni haibu kwa chama kilichopo madarakani.kufanya kila wanachoona cdm imefanya na wao wanaiga yaani wamekabwa kweli kweli.ndio matokeo ya kulala usingizi na kukumbuka kujifunika wakati wa hasubui.hofu ya nini kuitisha mkutano tena palepale cdm walipofanya.ushauri wangu kwa ccm mikutano haisaidii watanzania.tunataka maendeleo hatutaki hadithi hadithi.
Nape anasema walichonga sana kuhusu kamati kuu.. Tumeunda kamati na wamekosa la kusema.. Amempandisha mmoja wa wajumbe mpya wa kamati kuu bw. Jerry Slaa..