KASHOROBAN
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 859
- 738
We dogo unaongea lugha gani??
....Hili jimbo ccm walilipora kwa nguvu,
Ha ha safaeu hii magufuli atakimbia nchi walahi ajiandae kisaikolojia tuliyoyaona wakati wa chaguzi za marudio hayatakaa yarudiwe kamweJiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Jiwe litapasgwa moto nakukalishwa chini kipigo chake kutakuwa cha mvwa koko unadhani yeye hajui uoga umemshikaCcm inajitahigi sana kuchukua majimbo mengi ,utakumbuka kwamba nguvu ya umma wakati wa jakaya iliisaidia sana chadema kuchukua majimbo sasa ni nguvu ya jiwe .
Magufuli anadekezwa kiboko chake cha kisilencer kakiona nchi imegota kila mradi hauendi nchi imefirisika anga za kidemokrasia kwusha dunia inamuona kaa zimwi hana rafiki hajiamini anatembea nabatalioni harafu unasema hatufurukuti wakati yeye ndio anatembea na gerezaEndelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Tatizo hawasilishi hoja za watanzania bungeniMhe Mabula Mbunge wa Nyamagana hana tatizo. Ni Mbunge mzuri sana.
Ndio ukweli wenyewe hana hata vision zero kabisahivi sasa anatumia nguvu kubwa ili abaki
Ambayo hata kuruka hayaruki na kuingiza nchi hasara wananchi wanajuwa hiloIna maana hawa wananchi hawajaona dreamliner na mabombadia yakipasua anga?!
Mnyonge nyongeni laki haki yake mpeni.Hao wanaoonekana karibu ni watoto ila watu wazima wanaonekana ktk muelekeo aliotiza Mhe.ambao hamkutaka kuwaonyesha kwasababu zenu binafsi. Is not good at all.Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
....Tatizo hawasilishi hoja za watanzania bungeni
Magufuli anazamishwa maxima 2020 wananchi tumeshajuwa si mali kitu hatuwezi mwachia hata nukta moja aendelee kuisambaratisha hii nchi nchi kwanza magufuli tupa kuleKuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake! Jipangeni 2020 tunasafisha wapinzani wote! Kazi kubwa na Nzuri anayoifanya JPM kila Mtanzania anakiri na kukubali kuwa CCM ndio mpango mzima
Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Lakini watashinda kwa Asilimia 90.....Yani nchi hii
Haha dereva kawa kipofu magufuli zero nchi imeshamshindwa lazima ang'oke 2020Yani mnajidanganya sana CHADEMA hata wasipofika mkutanoni watu saizi tunauhakika na dereva((JPM) na gari lake........ Acha tufanye kazi saizi then 2020 tunafumba macho na kuweka tick kila penye rangi ya kijani na penye nyundo na spedi watupeleke 2025 maana hawana mpinzani na tumeielewa kazi ya JPM
Mwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.
Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
Haha huyo zero anaota ndoto hatumtaki nyamagana aende misungwiJimbo hili ndo katengewa Daudi Albert Bashite!
Kinondoni INA laana gani kila RC aliyeanzia kino haziko sawa upstairBashite anagombea kinondoni
Hii ndio nyomi kweli ccm kwisheni hata picha za mbunge mwenyewe zinaonyesha uhalisia duhPropaganda uchwara. Angalieni wenyeweView attachment 1122524View attachment 1122525