CCM Mwanza kwisha

CCM Mwanza kwisha

Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Huo sasa ushabiki ndgu kumbuka siasa ni kama upepo kabla ya 2010 chadema ilikuwa si kitu VIP Leo si mpaka serikali inaiwekea vikwazo vya kila aina kuithibiti isionane na watu.
 
Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Hata Mugabe alikuwa anaongea hivyo hivyo kuwa atatawala milele kisa kapigania uhuru lkn muulize sasa hivi yupo wapi
 
Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapoha kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Huenda unaandka uko kitandani ebu andika wakati wa mapumziko uone kwanini umepumzika na ukaandika.
 
Hapo
Sioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
Hapo uchaguzi ujao wanabadilisha candidate Safari inaendelea.inaonekana jamaa kachemka ndio maana watu wamemsusa.
 
Mwanza inalejea ile ya 2010 kule Kiwia kule General Wenje Hakika Mwanza ilipendeza sana wenye Mwanza yetu sasa tunasema nyie kina mabura mtupishe
 
Kweli kwa dizaini hii ya wafuasi napata shida kuamini hata ngvu za wizi wao wa kura
Mwanza inalejea ile ya 2010 kule Kiwia kule General Wenje Hakika Mwanza ilipendeza sana wenye Mwanza yetu sasa tunasema nyie kina mabura mtupishe
FB_IMG_1560065315301.jpeg
 
Mkuu wanaishia kuzisikia zikiwaumiza ngoma za masikio wakati wao wanashindia ugali wa muhogo na mapanki
Ina maana hawa wananchi hawajaona dreamliner na mabombadia yakipasua anga?!
 
Huyo kavimbiwa mabaki ya wakubwa wa lumumba anashiba hivyo haoni huruma kwa ndugu zake huko koromitje wanao shindia uji kisa mfumo mbovu wa ccm
Huenda unaandka uko kitandani ebu andika wakati wa mapumziko uone kwanini umepumzika na ukaandika.
 
Huko nyuma mnapigwa nyinyi manyumbu
Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
 
Mkuu hao ndiyo vijana wa lumumba kwao kila kukicha ni kusifia
Huo sasa ushabiki ndgu kumbuka siasa ni kama upepo kabla ya 2010 chadema ilikuwa si kitu VIP Leo si mpaka serikali inaiwekea vikwazo vya kila aina kuithibiti isionane na watu.
 
Back
Top Bottom