Kweli kero zinatatuliwa kwa wakati,hata anakoishi mh maeneo ya Nyegezi Majengo maji yanamwagika masaa 24. Barabara za mitaani jimboni zinapitika vizuri sana nyakati zote,mfano barabara ya Nyegezi Kapuya street inayoshukia Saguda hoteli zinapitika tu vzr,Nchenga street kutokea Gemstone kuelekea City side ziko vizuri sana tuendelee kumpongeza mh kapiga kazi inayoonekana hata kwa macho.Mh: Mbunge anatimiza wajibu kupeleka mrejesho kwa wapiga kura wake,,
sioni haja ya kuacha shughuri zangu kwenda mkutanoni wakati changamoto zote zinatatuliwa kwa wakati,, Mh: Stan Mabula piga kazi kaka tuna imani na wewe,,,