Punguza hako ka udesi.Uvumilivu sasa basi
Punguza hako ka udesi.Uvumilivu sasa basi
Kwa sura sio????!!!Mhe Mabula Mbunge wa Nyamagana hana tatizo. Ni Mbunge mzuri sana.
Na hao 10 ni kwa hisani ya ccm au aibu ya mabeberuJiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Dawa ya jiwe ni nyundo litapondwapondwa hadi lipate moto litachezea Tatu bila Makundi yote ya ushindi yashaumizwa yanasubiri kulipa kisasi.
[/QUO
Wazungu wamshindwe sembuse ufipa???
Hang'oki kwa maneno, watu saizi hawaongei 2020 kama nyuki kwenye vituo vya kupigia kuraHaha dereva kawa kipofu magufuli zero nchi imeshamshindwa lazima ang'oke 2020
Ushukuru wewe umeniona leo huku, ila kitambulisho cha kura ninacho miaka mingiUmejiunga JF leo hii baada ya kuona huu uzi juu ya anguko la ccm mkoani mwanza!
Ona hapaLakini watashinda kwa Asilimia 90.....Yani nchi hii
Watu kama Mimi wapi wengi saaaana ila hawana muda wa kubishana na watu wasio na dira kwenye chama chao, ila tunajipanga kuwanyima hata serikali za mitaaHiyo ndiyo akili yako hakuna wa kukulaumu endelea Kula ugali na mapanki huku ukiimba ccm ccm
Kumbe sasa ni RUKSA mikutano ya hadhara!!Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332