Sasa inakuaje waliopiga kuwa wakususie kwenye ulioaji kodi na shughuli za maendeleoSababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
Anaonekana hata kwa kumtazama tu ameshakata tamaa kabisa
Sioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
Huyo Bwana Mdogo kwisha habari yake.
Hakuna Mtu anataka kuskia habari zake tena.
Hili Jimbo uwa ni la Upinzani sema figisu figisu zilitawala Uchaguzi uliopita.
Chadema walishinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015 lkn,ccm wakapora ushindi!Daaa hapa mwanza watu hawaipendi ccm
Bashir wa Sudan pia alikuwa anapita kwa kishindo leo yupo jeraaLakini watashinda kwa Asilimia 90.....Yani nchi hii
Hiyo picha imepigwa angle ndogo sana, haithibitishi uhakika wa wahudhuria. Lete picha zabkila upande.Sioni kama kuna haja ya kufanya hivyo maana picha inajionyesha
Haha huyo zero anaota ndoto hatumtaki nyamagana aende misungwi
Sawa imechokwa, lakini wewe ni muongo mashuhuri, hata ndugu zako wa karibu hawakuamini.Kwa ufupi ccm imechokwa vibaya sana mwanza
Hapo si mkutano wa ccm. Leta clip , hiyo ya kutunga.Imezuliwa kwa wasiyo vaa nguo za kijani tu
Huo si mkutano wa ccm acha kupotosha.Kwa ufupi ccm imechokwa vibaya sana mwanza