CCM Mwanza kwisha

CCM Mwanza kwisha

Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.

Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Kwani mikutano ya HADHARA si imezuiwa au mimi ndio sifahamu??
 
Naona kiswahili ni kigumu sana.
Uzi unazungumzia kususiwa kwa ccm
Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
 
Mwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.

Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana na kwa sasa mambo ni fire chini kwa chini siunajua?
 
Mwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.

Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
......
......Great
 
Kwa kuongezea pia ni kuwa uelewa wa wapiga kura wa 2015 na 2020 utakuwa tofauti sana maana uvumilivu nao una mwisho
No keep on the record of 2015 election ,Wenje rejected as a winner inspite of high scores.So could a picture above declare that ccm kwisha
 
Wasuk... na msuk... wao hawawezi kumwangusha anawapa vitengo kilaleo
 
Naona kiswahili ni kigumu sana.
Uzi unazungumzia kususiwa kwa ccm
Kweli ni kigumu boss. Maana pamoja na kujitolea mfano kuwa kwenye chaguzi zilizopita sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila si kwamba nilimsusia niliyempigia kura nilienda nikapiga kura. Ila kwa ugumu wa kiswahili bado hujaelewa point yangu kuwa idadi ndogo/kubwa mkutanoni haimaanishi wapiga kura wachache/wengi haimaanishi umeshinda/shindwa. Ccm wanasuprice sana. Mm mwenyewe walishanisuprice sikuamini. Usidanganyike.
 
Back
Top Bottom