kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 300
- 194
Hao wana nguvu kwenye sanduku si kuamua nani aweWatu wa kawaida huwa ndiyo wengi sana sehemu nyingi
Hao wana nguvu kwenye sanduku si kuamua nani aweWatu wa kawaida huwa ndiyo wengi sana sehemu nyingi
Kweli ni kigumu boss. Maana pamoja na kujitolea mfano kuwa kwenye chaguzi zilizopita sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila si kwamba nilimsusia niliyempigia kura nilienda nikapiga kura. Ila kwa ugumu wa kiswahili bado hujaelewa point yangu kuwa idadi ndogo/kubwa mkutanoni haimaanishi wapiga kura wachache/wengi haimaanishi umeshinda/shindwa. Ccm wanasuprice sana. Mm mwenyewe walishanisuprice sikuamini. Usidanganyike.
.....No keep on the record of 2015 election ,Wenje rejected as a winner inspite of high scores.So could a picture above declare that ccm kwisha
Ni ukweli mwanza watu hawaipendi ccm hilo hata ccm wenyewe wanajua shida ipo kwa wagombea wa upinzani huwa hawajielewi sijui wanawaogotaga wapi. Huyu wenje alipewa ubunge akalewa akawa anatokea siku za maandamano tu akaanza kuwatukana wasukuma kuwa ni washamba sana na wakabila wakati yeye ni mjaruo na wamemchagua hakuna lolote alilofanya akienda igoma anawambia buhongwa kajenga zahanati kumbe fix na akifika buhongwa anawambia igoma kajenga madarasa kumbe fixMwanza imepotea kwenye ramani ya siasa na wabunge wake wamebweteka huwaoni wakiwatete wapiga kura popote..wameshiba na kibaya zaidi wasukumu waliaminishwa kuwa wakimtoa Rais wataishi Kama malaika.
Upinzani ukianza kuwekeza upya mwanza wanaichukua mchana kweupa na maendeleo yatapatikana
Tatizo siyo kupiga kura. Tatizo kura haziheshimiwi. Na hivyo wengi hatutapiga kura. Tena.Sababu watu wanaweza kuja kwenye mkutano halafu matokeo yawe tofauti na mategemeo. Ref to mafuriko awamu iliyopita. Mm sikuwa kwenye mkutano hata mmoja Ila nilipiga kura.
naona manyunyu ya watu mbele ya mheshimiwa sana,tena watoto wasiojua haki zao
Ni ukweli mwanza watu hawaipendi ccm hilo hata ccm wenyewe wanajua shida ipo kwa wagombea wa upinzani huwa hawajielewi sijui wanawaogotaga wapi. Huyu wenje alipewa ubunge akalewa akawa anatokea siku za maandamano tu akaanza kuwatukana wasukuma kuwa ni washamba sana na wakabila wakati yeye ni mjaruo na wamemchagua hakuna lolote alilofanya akienda igoma anawambia buhongwa kajenga zahanati kumbe fix na akifika buhongwa anawambia igoma kajenga madarasa kumbe fix
Ushaul chadema wajue kanda ya ziwa kunaendeshwa kwa ukabila waweke wagombea wasukuma siyo kuletana wachaga kama alivyo kuwa kwa kiwia
Ni sehemu moja tu ambayo kuna mbunge wa kabila tofaut napo ni bunda ester bulaya ni msukuma japo napo pana wasukuma wengi
Mayala B
Ccm inajitahigi sana kuchukua majimbo mengi ,utakumbuka kwamba nguvu ya umma wakati wa jakaya iliisaidia sana chadema kuchukua majimbo sasa ni nguvu ya jiwe .Kwa kuongezea pia ni kuwa uelewa wa wapiga kura wa 2015 na 2020 utakuwa tofauti sana maana uvumilivu nao una mwisho
A hungry man is an angry manWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Hata Mugabe alikuwa anaongea hivyo hivyo kuwa atatawala milele kisa kapigania uhuru lkn muulize sasa hivi yupo wapiJiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Tume iliishdsha ccm ubunge nyamagana kka hilo halifichk shida ni kwamba turudishe ile hali ya kuwawajibsha kabla hata ya miaka 5 huenda tukaweza kuona maendeleo.Ni ukweli mwanza watu hawaipendi ccm hilo hata ccm wenyewe wanajua shida ipo kwa wagombea wa upinzani huwa hawajielewi sijui wanawaogotaga wapi. Huyu wenje alipewa ubunge akalewa akawa anatokea siku za maandamano tu akaanza kuwatukana wasukuma kuwa ni washamba sana na wakabila wakati yeye ni mjaruo na wamemchagua hakuna lolote alilofanya akienda igoma anawambia buhongwa kajenga zahanati kumbe fix na akifika buhongwa anawambia igoma kajenga madarasa kumbe fix
Ushaul chadema wajue kanda ya ziwa kunaendeshwa kwa ukabila waweke wagombea wasukuma siyo kuletana wachaga kama alivyo kuwa kwa kiwia
Ni sehemu moja tu ambayo kuna mbunge wa kabila tofaut napo ni bunda ester bulaya ni msukuma japo napo pana wasukuma wengi
Mayala B