CCM: Mwanamke mwenye jinsia zaidi ya moja aomba msaada kura za maoni

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Members sina mengi ,Watu wenye jinsia zaidi ya moja wanahitaji haki zao ,Video chini ni Dada anayeomba msaada haelewi ana jinsia gani ya kike au kiume

Transgender ni changamoto mpya hapa Tanzania sasa

Serikali acheni mambo ya ubaguzi kutambua jinsia mbili tu yaani Male and Female

Sasa iwe Male, Female na Transgender

View attachment 1531220
Neno "hermaphrodite" ni sahihi zaidi kuliko "transgender".
 
Mkuu unafahamu maana ya transgender?? Unafahamu kuwa Kuna mtu kubadili jinsia kwa kutumia dawa za hormone pamoja upasuaji, na kuna wanaozaliwa bila jinsia au wanakuwa na zote mbili.
Huyo Dada sio transgender
 
Huyu mtoto angesaidiwa kuliko kuendelea kumjadili kwenye mitandao.
Ni ulemavu wa kuzaliwa ambao hakuutegemea.
Tunatakiwa kumsupport kwa kila hali ili aione dunia ni sehemu salama kwake kuweza kuishi
 
Yes ndio suluhisho
 
Yaani mada yenyewe, maelezo ya huyo muhusika na jukwaa alilochagua kufikisha ujumbe vyote ni mazingaombwe tu.
Kitu muhimu ni kwa muhusika atafute msaada kwa njia iliyo sahihi ili aweze kuishi maisha yenye furaha kama wengine.
 
Kwasababu ajulikani ni me au ke, basi siku nyingine sema, "mtu aliye na jinsia zaidi ya moja"....manake ukisema mwanamke aliye na jinsia zaidi ya moja huwezi jua ameamua ajulikane kwa jinsia ipi, hata kama sura yake ni ke.
Members sina mengi ,Watu wenye jinsia zaidi ya moja wanahitaji haki zao ,Video chini ni Dada anayeomba msaada haelewi ana jinsia gani ya kike au kiume

Transgender ni changamoto mpya hapa Tanzania sasa

Serikali acheni mambo ya ubaguzi kutambua jinsia mbili tu yaani Male and Female

Sasa iwe Male, Female na Transgender

View attachment 1531220
Imenigusa sanaaaa.
Jasiri ingawa anatembea na maumivu makali sana.
Mungu ampe nguvu ajikubali aishi maisha apendayo.
Neno "hermaphrodite" ni sahihi zaidi kuliko "transgender".
Mkuu unafahamu maana ya transgender?? Unafahamu kuwa Kuna mtu kubadili jinsia kwa kutumia dawa za hormone pamoja upasuaji, na kuna wanaozaliwa bila jinsia au wanakuwa na zote mbili.
Huyo Dada sio transgender
Huyu mtoto angesaidiwa kuliko kuendelea kumjadili kwenye mitandao.
Ni ulemavu wa kuzaliwa ambao hakuutegemea.
Tunatakiwa kumsupport kwa kila hali ili aione dunia ni sehemu salama kwake kuweza kuishi
Aende Kundi maalumu,Mkuu Ponsian ndiyo wajibu wako huo sasa.
Yaani mada yenyewe, maelezo ya huyo muhusika na jukwaa alilochagua kufikisha ujumbe vyote ni mazingaombwe tu.
Kitu muhimu ni kwa muhusika atafute msaada kwa njia iliyo sahihi ili aweze kuishi maisha yenye furaha kama wengine.
Na mimi nasubiri kama yupo aliemuelewa atwambia anakojoa kwa kutumia nini.
Ccm walivyo myty wameshamtembezea
 
Members sina mengi ,Watu wenye jinsia zaidi ya moja wanahitaji haki zao ,Video chini ni Dada anayeomba msaada haelewi ana jinsia gani ya kike au kiume

Transgender ni changamoto mpya hapa Tanzania sasa

Serikali acheni mambo ya ubaguzi kutambua jinsia mbili tu yaani Male and Female

Sasa iwe Male, Female na Transgender

View attachment 1531220

Kwa pamoja wewe na yeye na yeyote anaye weza kumfikia nitumie Jina na namba ya simu yako au yake, au njia ya hakika ya kumfikia kwenye inbox yangu ya JF. or . Usikose
 
Watu mnaitaja CCM, CCM, sasa CCM ina kosa gani huyo mdada kuzaliwa hivyo? CCM haina kosa, wala sio chanzo cha huyo mdada kuzaliwa hivyo, na naamini kupitia CCM atasaidiwa, watu humu mnailaumu tu CCM, imefanya kosa gani? Hivi mkiandika huwa mnafikia kama watu au nyumbu?
 
Members sina mengi ,Watu wenye jinsia zaidi ya moja wanahitaji haki zao ,Video chini ni Dada anayeomba msaada haelewi ana jinsia gani ya kike au kiume

Transgender ni changamoto mpya hapa Tanzania sasa

Serikali acheni mambo ya ubaguzi kutambua jinsia mbili tu yaani Male and Female

Sasa iwe Male, Female na Transgender

View attachment 1531220
Duu! Mungu amsaidie kukabili hali tata aliyonayo.Bahati mbaya yuko ccm ningempa hata laki 1 ya kumfuta machozi.
 
Back
Top Bottom