CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Nakuomba pitia post zako fanya research ujue wanao unga mkono (like) kila uandikacho kasha kesho nitakuja na swali unijibu baada ya utafiti huo uone ni kwa nini hali ni hiyo.
 
We post na ulike ukipendacho..sio lazima mawazo wako na yangu au wanaolike post zangu yafanane na yako..hili ni jukwaa huru..kufungana midomo mwisho ufipa na bahari beach hotel.
 
Ha ha ulisema nakaa nywagwa wewe wakaa wapi vile😀😀
 
We post na ulike ukipendacho..sio lazima mawazo wako na yangu au wanaolike post zangu yafanane na yako..hili ni jukwaa huru..kufungana midomo mwisho ufipa na bahari beach hotel.
Wanasema ukitaka kumjua mtu wajue rafiki zake. Hivyohivyo ukitaka kujua upuuzi wa hoja ya mtu angalia wapuuzi wangapi imewavuta Nawe wawajua wapuuzi wa JF. Jee kwa nini wanavutiwa sana na hoja zako? because its in their line of thinking!
Hapa nimekusifia sana sheiza maana upuuzi siku hizi ni sifa kwa vile kuna watu wananyazifa nzito kabisa nchi hii lakini wanafanya upuuzi wa hadharani na wanasifiwa.
 
Unaitia najisi jf..nimejaribu kuangalia kumbukumbu ya wewe kujiunga humu inaonyesha ni mkongwe..nilidhani ni mgeni nikusaidie..lakini inaonekana jf haijakusaidia kitu katika kukuza upeo wako wa kuchambua na kuchanganua..pengine sababu ubongo wako umewakabidhi wanasiasa..
Kupishana hoja na wengine haiwezi kukufanya wewe uwaite wengine wapuuzi..huo wenyewe unaofanya ni upuuzi na unadhihirisha ulivyokuwa mpuuzi
 
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
kumbe kuna watu wanakula mkwanja
 
Utaelewa tuu siku moja kama wengine walivyo elewa.
 
Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..

Ushahidi hapa ni mahakamani? Hata kama mnalipwa unategemea tuone ushahidi wa receipt? Inaonekana hujui siasa kiasi kwamba unatarajia mpaka kuwa na ushahidi wa receipt ndio iwe kweli mnalipwa. Kitendo tu cha kutetea uongo huo ni ushahidi tosha kwamba mnalipwa kuutetea huo uongo. Hakuna uwezo wa kutetea uongo wakati hulipwi.
 
Kwani hiyoruzuku wanayopewa chadema ni kodi ya mbowe?? Mbowe mwenyewe kwanza halipi kodi..anakula tu jasho la wanyonge

Mkuu mali nyingi za ccm ni za kupora toka serekalini. Ajabu baadhi ya viwanja vya mipira vlijengwa kabla ya uhuru na serekali ya kikoloni lakini kwa sasa eti ni mali ya CCM.
 
Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Nilifikiri uliposema Allen anajichanganya kwa kuleta mada kijuu juu nilihisi we we ni mpita njia.Kwa maneno yako haya kumbe we we ni mwenye nyumba.Mungu awe nawe Ila haki hubaki kusimama mbele yake daima
 
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
MATAGA
 
Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.

Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
Kulipwa sio jambo jepesi mlipaji nae anataka kuona kazi yake inafanyika ilivyopangwa.
 
Back
Top Bottom