CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Yaonekana huna hoja, ndo maana waokoteza tu cha kusema. Mtoa mada alikulenga kisawasawa. Ugua pole.
 
Yaonekana huna hoja, ndo maana waokoteza tu cha kusema. Mtoa mada alikulenga kisawasawa. Ugua pole.
We kweli ulikuwa unaatamia mayai..topic za miaka iliyopita unajibu leo..hongera kwa kutotoa.
 
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
Mbona unatuletea Uchafu Humu,
 
Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Hili alilisema Kikwete miaka hiyo,Sasa wewe Kama hulipwi bali unapayuka payuka tu bure,am so sorry for you
 
Nikiwa Ifunda Tech. those good days...Wakati huo vipanga tunasoma Government schools.....
Kabla wanasiasa wa ccm hawajaona fursa kwenye elimu shule za umma zilikuwa Bomba sana
 

Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.
Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
thibitisha
 

Awamu hii kwakweli watetezi wa CCM mitandaoni wanapata tabu sana.
Kuna wengine wameamua kuwa na ID mbilimbili,wanakosoa huku na kusifia katika zile tulizozoea. Yani wanang'ata na kupuliza.
thibitisha
 
Back
Top Bottom