mtoa mada peleka upumbavu wako huko kwa chadema ccm tuk vizr xana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani imeletwa kwa ajili hiyo hiyo. Ila watu wakaishukia kama mwewe hadi mleta uzushi mwenyewe akaikana habari yake akaishia kusema ameileta kama alivyoichukua "mahali". Hatujajua huko "mahali" ni Lumumba ama ni wapi?Kuna habari 300 us sijui imeletwa kwaajili ya Lissu !
Yaani imeletwa kwa ajili hiyo hiyo. Ila watu wakaishukia kama mwewe hadi mleta uzushi mwenyewe akaikana habari yake akaishia kusema ameileta kama alivyoichukua "mahali". Hatujajua huko "mahali" ni Lumumba ama ni wapi?
CCM wote ni mbumbumbu vilaza hakuna mtetezi wa CCM mitandaoni asiyevuta BangiKuna mambo mengine kuyatetea lazima ujifungie chooni..
CCM wote ni mbumbumbu zuzu juha vilaza na watetezi wenu wote ni washamba toka kolomijemtoa mada peleka upumbavu wako huko kwa chadema ccm tuk vizr xana
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliofeli shule wakapewa kazi. Inamaana kuanzia mafunzo then rehearsal to excution wamefeli. Huwezi kuwatetea hata unye mavi hadharani. Akili nzuri huwa inaanzia darasani then inakuja kwenye utendaji.Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?
Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?
Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.
OLE WENU CCM!
Ulilipia kodi sh ngapi?Una kadi ya TANU?
Kama kabudi alivyosainshwa mkataba wa koroSHOW na machalii wa nairoberyHata kama umesoma sana ukiingia CCM tu unakuwa mwehu unajitoa fahamu zote kwenye Ubongo na kubakiza kamasi debe mbili na Moshi wa Bangi, CCM ni shiiida sana
Si wanalipwa ? Acha kazi I we ngumu ku justify malipo yao . mfano kwenye suala la CAG hata hayajui yasimamie wapiKila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?
Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?
Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.
OLE WENU CCM!
Another crap from unknown mchonganishi!Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?
Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?
Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.
OLE WENU CCM!
Usitumie wingi katika kujieleza. Kama hujaelewa ni wewe tu. Hoja na Kichwa cha bandiko vinawiana.Another crap from unknown mchonganishi!
Nyoosha stori acha kuzunguka mbuyu bila kutuelewesha ulicholenga!
Siasa za upinzani zimeshikwa na wala chips kama wewe wenye laana ya mafuta ya transfoma,na wavaa milegezo na mawigi ambao wana shinda wakirudisha suruali mahala pake na wenye mawigi mikono inachoka kwa kukuna kichwa.Usitumie wingi katika kujieleza. Kama hujaelewa ni wewe tu. Hoja na Kichwa cha bandiko vinawiana.