CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
Hahahahhaaaaaaa,yaani wanawatesa kuliko kawaida!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilijua tu utakuja na jibu hilo.

Bora akina FaizaFoxy, Lizaboni and et al walishajimazia maana mnayetaka kumbeba habebeki
Watetezi wa CCM mitandaoni wanapata sana tabu na hizi episodes!
Nakumbuka jana wakati picha ya gari inaachiwa na Sirro,watu tulisema sio picha ya CCTV!Basi bhana,YEHODAYA akapanic!Akasema hizo CCTV nyingine ni za low quality ndio maana huwa hazioneshi vizuri!!!!!Hahahahaa,Tukamweleza kuwa,hata angle ya picha iko chini wakati kikawaida CCTV huwa inawekwa kwa juu ambapo mtu hawezi kufikia bila kuweka ngazi au stand!Basi huyo huyo YEHODAYA akaja kujibu hoja hii,akasema "CCTV unaweza funga popote,hata ukitaka ikuchukue tako ni uamuzi waki"

Hhahaaaaa,Sirro alivyokuja kusema leo kuwa Picha hiyo haikupigwa kwenye hotel alipotekwa,nikacheka nikikumbuka ndugu yangu YEHODAYA alivyokuwa akihangaika!!!!!

Kweli wanapata tabu!
 
Kuna wengine wana id mbili moja ya kusifia na kutetea hata ujinga wa hivyo na mambo ya hovyo kama ya wanaounga mkono na nyingine ndio huwa ndiyo ya kusemea hisia zao halisi
 
Watetezi wa CCM mitandaoni wanapata sana tabu na hizi episodes!
Nakumbuka jana wakati picha ya gari inaachiwa na Sirro,watu tulisema sio picha ya CCTV!Basi bhana,YEHODAYA akapanic!Akasema hizo CCTV nyingine ni za low quality ndio maana huwa hazioneshi vizuri!!!!!Hahahahaa,Tukamweleza kuwa,hata angle ya picha iko chini wakati kikawaida CCTV huwa inawekwa kwa juu ambapo mtu hawezi kufikia bila kuweka ngazi au stand!Basi huyo huyo YEHODAYA akaja kujibu hoja hii,akasema "CCTV unaweza funga popote,hata ukitaka ikuchukue tako ni uamuzi waki"

Hhahaaaaa,Sirro alivyokuja kusema leo kuwa Picha hiyo haikupigwa kwenye hotel alipotekwa,nikacheka nikikumbuka ndugu yangu YEHODAYA alivyokuwa akihangaika!!!!!

Kweli wanapata tabu!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mkuu umenichekesha sana

Eti hata ukitaka uchukue picha ya tako....
 
Yawezekana....yangu imedumaa yako imefubaa huko Lumumba....
Ndio shida ya ofisi kuwa makaburini..watu wake hawana tofauti na fikra za maiti ambao ndio jirani zao hapo..
 
Asante Ndugu. Naweza kuwa na urge na kiumbe ambaye ukichanja damu yako ni ya kijani. Viumbe adimu katika
Sayari hii. Kwa heri.
 
Vipi hivi nyie huwa mna damu..?maana maiti ipogo tu..
 
Unajichanganya sana allen..unaonekana mgeni wa siasa..habari za kulipwa una ushahidi nazo??
Then ccm inajichanganya kwa lipi sasa..hebu fafanua ili ujibiwe..
Mzee naona umejitutumua
 
Kweli kama matumizi ya ruzuku za chama zaidi ya mill 300 + laki tano tano za wabunge wakati ofisi ni kiosk cha mbowe..
Masuala ya kutweza utu wa wabunge wa kike unaofanywa na mwenyekiti..
Baada ya kukosa hoja sasa ni VIHOJA
 
Watanzania hatuna tabia ya kusema ukweli hasa pale mkuu anapofanya ya hovyo
 
Kila siku mnatengeneza "movies" za kijinga na kufanya mambo ya hovyo sana kiasi kwamba mnawapa shida watetezi wenu wa mitandaoni. Kila jambo mnaboronga, mnadhani hao mliowaweka mitandaoni wawatetee nao ndiyo hawana hisia za utu kabisa?

Yaani mnadhani kusema uongo na kutetea ujinga unaoonekana shayiri dhahiri kwamba ni ujinga ni kazi rahisi? Mnadhani wao hawajui kwamba wanatetea mambo ya hovyo yanayodhuru taifa lao na vizazi vyao vijavyo?

Au mnadhani kwa kuwa "wanalipwa" basi watakuwa ni watumwa wa kusema yasiyowezekana na kuaminika kila siku? Hata kama wanatumia majina bandia lakini mjue na wao wanaujua ukweli hata kama wanaupindisha, siku ukweli ukizidi kina cha uwezo wao wa kuupindisha mjue watatapika hata yale msiyoyafikiria kwamba wanaweza kuyasema.

OLE WENU CCM!
Acha mbwembwe. Na bado mtaisoma namba.
 
Back
Top Bottom