Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Lipo kundi Fulani humu lenyewe maujinga haya wanayotetea utaona kabisa wanatetea kuitikia wito wa kazi maana huwa wanaonyesha kabisa wanachoka.
Lakini lipo lingine ambalo (nitawataja baadae) wao nikama walking dead people aka maiti zitembeazo,wao bora liende tuu. Hao utawahurumia maana ni zile akili za Livingstone au yule wa Ulanga aliyepata nafasi kwa fadhila ya kumkumbuka mama