Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,712
- 22,296
Link CCM imetumia hela yake yenyewe, CCM ilifilisika ilishindwa kulipa mshahara siku ya pili mkuu aliamuru mshahara ilipwe na vyombo vya habari viboreshwe na mungu alitenda.Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.
Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.
Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.
Ni hayo tu kwa uchache.
Maendeleo hayana vyama!