CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

Ni kweli tutashinda lakini wengine hatujui tutashinda na mwenyekiti yupi na makam mwenyekiti atakua yupi!!

Kama Mzee wassira aytaendelea kutoonekana ,inamaana makam mwenyekiti mpya atahitajika mapema!!

Mawazo meengi Sana kichwani!
 
Inatakiwa 100%. Hizo 2% ndo chauma na wenzake wapewe.? Kuweni na huruma basi. Wapeni hata 40%
 
Back
Top Bottom