CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

Mkuu ni kweli hili ni suala la kujadili na wala siyo la kushabikia tu ati CCM imejivua gamba. Mimi sioni muktadha wa kujivua gamba ni upi. Nimetatizika sana na hili suala la kujivua gamba. Mimi nadhani kujivua gamba kunge translate kwenye utendaji thabiti wa serikali na kushuka kwa gharama za maisha kwa watanzania. Watanzania wanalalamikia maisha magumu ya serikali ya CCM sasa gamba hili lililovuliwa hatuambiwi kama litaleta maisha bora kwa Watanzania. Kuwashughulikia mafisadi, sawa japo ukiangalia huko kuna mafisadi wengi Chamani na serikalini, lakini je hii secretariati mpya ya CCM ambayo ni gamba jipya inatuambiaje kuhusu ugumu wa maisha na utendaji wa serikali? Nadhani serikali nayo ijivue gamba, najua ina gamba nene tu na lililokomaa!
 
we umetumwa na wale wa kijani eehhh, waliojidanganya wamevua gamba kumbe wana magamba mengi
 
Hivi kwa nini watu wanaruhusiwa kuleta pumba hapa !!!

Kashaga kama ccm wamekutuma waambie tuko gado hatuna muda nao.....
 
Kwa sbb huna akili hata ya kufikiria juu ya ujinga wako uliouandika na kwa sbb huna unachokijua kilichotokea nyuma ni sawa na kudandia treni kwa mbele.Ninaamini haulijui picha vizuri.Kweli wajinga nchi hii hawataisha hata Nyerere aliwahi kukiri hivyo
 
Kasfa gani Chadema anzo ??? Acheni kupakazeni CHAMA CHA CHADEMA ??? Mtasema lakini amtaweza. Hizo Kasfa ya DINI inaletwa na huyo Mkuu wenu wa CHAMA CHA MAFISADI JAKAYA KIKWETE. I warn you to never again say such nonesense. Do not jumb into what you do not know. Kuhusu GODBLESS LEMA ndio tena had it been me I would have even go SLETE hahahaha GO STRAIGHT kufunga mlango mwenyewe. Tumechoka na wongo ya mafisadi. Watch out and never ever again.
 
kabla hauja post fikiria kuwa tunasoma watu wenye akiri zetu, kwani fujo ilianzishwa na nani bungeni? Au haukuangalia hata bunge umerukia tu,au unaleta masuala ya DARK MARKET HAPA NA WW tena sifuti kauri yangu. Kila siku kutengua kanuni tu asa waliziweka za nini?

UmeeReweka mkuu, una akiRi kweRi kweRi wewe. Busara zako zinaonekana kwa sababu wewe mwenyewe unazipitia post zako kabRa ya kutuma, umejaaRiwa haswaaa...
 
Mimi naamini kuwa ccm wanamaanisha kujivua Gamba kama anavyojivua nyoka na si vinginevyo; Kwa maana hiyo basi kama nyoka anavyojivua gamba anatazamika kijana vivyo hivyo ccm imejivua gamba ili ianze tabia yake upya i.e ufisadi, ubabe, n.k
 
Chama cha mapinduzi (ccm) kimetangaza rasmi kujivu gamba mwanzoni mwa wiki hii baada ya kubadili safu ya uongozi na kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe kwenye vitengo vya chama kabla chama kuwaondoa. Pamoja na kujivua gamba, ccm bado ina tatizo moja kubwa ambalo naweza kuliita "gamba sugu". Gamba lenyewe ni tabia ya wabunge wa ccm kushangilia na kupigia makofi kila kinachozungumzwa na mbunge wa ccm bila kujaji kama kile anachokizungumza kina tija kwa taifa..wanapaswa pia waanze kuunga mkono hoja za wapinzani pale inapobidi kama alivyofanya membe juzi..
 
Wangekuwa wamechaguliwa na wananchi wangekuwa responsible kwa wananchi ila kwa kuwa ni wabunge wa NEC hawana cha kupoteza zaidi ya kujipendekeza ili wateuliwa na kuthibitishwa tena kwa chakachua 2015.
 
Kwa maana hiyo ni wabunge wa ccm na wanawakilisha chama sio wa wananchi!?
 
Chama cha mapinduzi (ccm) kimetangaza rasmi kujivu gamba mwanzoni mwa wiki hii baada ya kubadili safu ya uongozi na kuwataka watuhumiwa wa ufisadi wajiondoe kwenye vitengo vya chama kabla chama kuwaondoa. Pamoja na kujivua gamba, ccm bado ina tatizo moja kubwa ambalo naweza kuliita "gamba sugu". Gamba lenyewe ni tabia ya wabunge wa ccm kushangilia na kupigia makofi kila kinachozungumzwa na mbunge wa ccm bila kujaji kama kile anachokizungumza kina tija kwa taifa..wanapaswa pia waanze kuunga mkono hoja za wapinzani pale inapobidi kama alivyofanya membe juzi..
 
Wanasubiri mkuu wao acheze ngoma ya CDM kama katiba mpya kwani haipo kwenye ilani yao ya uchaguzi halafu washangilie kuwa ni ya kwao. Na siku atakapokubali kujiuzuru napo watashangilia.
 
Wamo bungeni kusubiri moments za kuzomea CDM na kuunga mkono hoja za chama tawala.
 
na demokrasia ya kusikiliza ya mwenzio hata kama hupendi kusikia ndio itakayotufikisha katika mafanikio,CDM siasa sio vita wala chuki!hakuna haja ya matusi bali tujibu hoja kwa hoja

Hoja iko wapi hapo? Acha kutoa habari kwa kutumia hisia, kuwa na vielelezo ndipo ulete habari inayoeleweka
 
chadema haina magamba
chadema si nyoka
walio na magamba walishajivua
walio na masagamba pia walishajivua

Hizi pumba nyingine ni vituko tu
 
Walianza

CCM = Chama Cha Mapinduzi
CCM = Chukua Chako Mapema
CCM = Chama Cha Majambazi
CCM = Chama Cha Mafisadi
CCM = Chaka Chua Matokeo
And the latest CCM = Chama Cha Magamba

Tusubiri kabla ya 2015 watakuja na jina gani?!

CHADEMA:chama cha Denda na Mademu!
 
[ KUJIVUA GAMBA HUKUTA TUSAIDIA KABISA KWA MAELEZO YAKO]

Mimi naamini kuwa ccm wanamaanisha kujivua Gamba kama anavyojivua nyoka na si vinginevyo; Kwa maana hiyo basi kama nyoka anavyojivua gamba anatazamika kijana vivyo hivyo ccm imejivua gamba ili ianze tabia yake upya i.e ufisadi, ubabe, n.k[/QUOTE]
 
Wana JF ukiangalia star tv bunge ni vichekesho yani kuna wa2 hawajui hata wanajadili nini ilimradi ni ccm wanatakiwa kukubali au kupinga basi m2 ananyanyuka kupinga au kukubali bila kujua anachokataa au kupitisha, shame...haya pinda nae aibu tupu yuko bungeni anajadili muswada muhimu alafu hata a pay tension ananyanyuka na kusema mara ndio mara sio mara akae kimya CCM Msikilizeni tundu lisu anauchungu na nchi hii
 
Back
Top Bottom