CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Wewee kwani akina chongolo wamepatikaje! Je wakati wa jiwe walikuwa wapi!? Je abdukitembo kindovu yuko wapi?
 
Hongera Sana Ccm-tanzania, ingekuwa wale wenzetu wa zidumu fikra za Mwenyekiti ndio ingekuwa basi tena,

CCM bado ni Chama bora kabisa duania na Africa cha kupigiwa mfano,

Viva CCM, VIVA, VIVA SAMIA VIVA
Sasa uchaguzi wa Shina ndo kitu ya kuongelea kweli? Fanyeni hivyo kwa uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa tuone. Kwa kuanza Rais wa nchi asiwe Mwenyekiti wa chama tawala.
 
Fanyeni na nyinyi simnachama na ninyi
 
CDM ndio nini? Achana na CCM ni habari nyingine kabisa

Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Mimi naizungumzia cdm kama chama cha siasa na sio vyombo vya dola.
 
jivikeni na ninyi hilo koti kama inawezekana,
 
Back
Top Bottom