CCM kiboko; Mafuta yameshuka bei:

zamwamwa

Member
Jun 16, 2011
46
10
Mchezo huu umenifanya nitafakari mara mbili, CCM wameagiza serikali itafute njia kushusha bei ya Mafuta hasa ya taa, SIKU moja BAADA ya agizo hilo EWURA WAMETANGAZA KUSHUSHA BEI. HUU MCHEZO UNAENDA WAPI?
 
Ngonjera tu hizo!...Itashuka itakuwa shiing ngapi kama si maigizo?
Nauli za daladala zitashuka?..Wananchi washaumia tu!
 
Hello Friend.
How Are You And Also About Your Present Condition Of Health I Know All Is Well With You If So Thanks Be To God Almighty For Making It So.
WELL WITH OUT WASTING OF OUR TIME.. My Name Is Miss mirian, A Young Girl I Am Looking For one who I Will Relate With for love and longterm relationship.
For More Info I will Send You My Photo For You To Know More About Me, Please Do Mail Me On This
email... miria2love@yahoo.com

Yours
mirian

:boom: mods Spam hii ... wanaingia hadi ndani ya threads siku hizi
 
Hello Friend.
How Are You And Also About Your Present Condition Of Health I Know All Is Well With You If So Thanks Be To God Almighty For Making It So.
WELL WITH OUT WASTING OF OUR TIME.. My Name Is Miss mirian, A Young Girl I Am Looking For one who I Will Relate With for love and longterm relationship.
For More Info I will Send You My Photo For You To Know More About Me, Please Do Mail Me On This
email... miria2love@yahoo.com

Yours
mirian

Eh, hmmmm... kazi kweli kweli na bei ya mafuta!
 
Hello Friend.
How Are You And Also About Your Present Condition Of Health I Know All Is Well With You If So Thanks Be To God Almighty For Making It So.
WELL WITH OUT WASTING OF OUR TIME.. My Name Is Miss mirian, A Young Girl I Am Looking For one who I Will Relate With for love and longterm relationship.
For More Info I will Send You My Photo For You To Know More About Me, Please Do Mail Me On This
email... miria2love@yahoo.com

Yours
mirian

Paw umelala??
JF imeshavamiwa
 
Mchezo huu umenifanya nitafakari mara mbili, CCM wameagiza serikali itafute njia kushusha bei ya Mafuta hasa ya taa, SIKU moja BAADA ya agizo hilo EWURA WAMETANGAZA KUSHUSHA BEI. HUU MCHEZO UNAENDA WAPI?

Serikali makini itapatikana pale Rais atakapovuliwa kofia ya U-enyekiti wa Taifa wa Chama, vinginevyo ni usanii na kujidhalilisha tu!
 
Hivi mtu kama mtu anawezaje kuwa kiboko kwa kiungo chake cha mwili? Yaani unajikwaa halafu unaupiga mguu halafu unasema mimi kiboko una-check nilivyoushughulikia mguu wangu.

CCM na serikali (EWURA) tofauti yake ni nini? Hiyo ni janja ya kudanganya wanachi wa Igunga ili wapate lile jimbo maanake huo mafuta ya taa ni muhimu sana!
 
Hivi yameshuka lini...mbona leo nimeweka mafuta asubuhi njiani kuja kazini na bei ya petrol ilikuwa 2090 tshs per litre? Au hapo ndio imeshuka?
 
Bei ya mafuta haijashuka chini ya BUKU 2,hawa kweli wasanii,AHAHAHAAAAA, maana wameshusha sh 201.17
Ngonjera tu hizo!...Itashuka itakuwa shiing ngapi kama si maigizo?&lt;br /&gt;<br />
Nauli za daladala zitashuka?..Wananchi washaumia tu!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 
Kiboko wapi wakati vituo vya mafuta vimegoma kuuza bidhaa hii muhimu? upuuzi mtupu
 
Mbona naona upuuzi tu hapa, yaani huyu anatuambia tangazo la ewura badala ya hali halisi vituoni halafu eti ccm kiboko!, kwanza ewura mi sioni haja yao kuwepo, bei wanazozitoa eti ni elekezi siku zote huwa juu ya hali halisi, hawafanyi udhibiti wa bei hata kidogo. kazi bado tunayo hapa mpaka tutakapopata viongozi wakali
 
hakuna cha ccm kuwa kiboko hapa, watasema bei ishushwe na wafanyabiashara watasambaza vibahasha kwa wahusika ipende kuliko hata ilivyokuwa. Haya sasa na vituo ndio hivyo vimefungwa.
 
Back
Top Bottom