CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8

Timuatimua ya jana ya Madiwani wa Bukoba ni danganya toto. Watanzania wenzangu na mjue mapema hili.

Taarifa za ndani ya chama chetu zinaonesha kuwa timuatimua ya Bukoba inalenga hasa kupata maoni ya ndani na nje ya chama kuhusu suala hilo.

Kwanza,chama kinataka kusikia juu ya uwezo wake wa kufanya maamuzi magumu kama yalwiyofanywa na wapinzani wetu CHADEMA kule Arusha.

Pili,ni utafiti ya juu ya nani hasa anskubalika Bukoba kati ya Meya na Madiwani waliotimuliwa jana.

Ni maamuzi ya utafiti tu. Hayana dhima nyingine. Msishangae Madiwani wote kurejeshwa madarakani na 'ngazi za juu'. Subirini muone

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
"kama chadema wamweza kufanya maamuzi magumu kwanini sisi tushindwe?" - katibu wa CCM kagera Bw. Mushi
 
It is very very interesting kwamba kwa CCM wanaopinga ufisadi ndio hufukuzwa katika chama lakini yale mafisadi, majambazi, majangili, na mauza unga yaliyokubuhu ndio kwanza yanaachwa na hata kupewa nafasi za juu za uongozi katika chama, serikalini, na bungeni.

Hili linashangaza sana! Hivi CCM wanaweza kuwaeleza wananchi sababu ya msingi na inayoingia akili ya kuwafukuza hao madiwani zaidi ya bla bla za kisiasa za akina Nape?

Mzee unashanga hayo hapo ndio magamba walipofikia ukiwe mkweli huhitajiki bwana, wewe fukia fukia twende.
 
Ndani ya Ccm hakuna mwenye jeuri ya kumfukuza mwenzie, kila mmoja anamadhambi yake. kilichobaki ni kulindana tu.!!
 
Bila UFISADI na RUSHWA CCM itakufa hivyo wameona wafe Madiwani kuliko kukosa fedha halamu! CCM ni janga la Taifa la Tanzania. Adui yetu mkubwa Tanzania ni CCM! Bila ufisadi, biashara madawa ya kulevya, CCM itayumba!
 
Mkuu mama toto

Wale madiwani wanajali zaidi maslahi kwa wananchi, nasasa hao wajibanisha wazi kuyavuwa magamba kwa vitendo.

Mkuu wangu,mimi binafsi naunga mkono kufukuzwa kwa madiwani hao na sababu zangu ni kwamba siyo kweli kwamba wao ni watetezi wa wananchi ama wapinga rushwa! Ugomvi ni maslahi binafsi na kutumika!

Wengi kati ya waliotimuliwa na vikao vya chama mkoa ni watu ambao wamekua viongozi wa siasa kwa miaka mingi sasa na hawana chochote ambacho wanaweza kuonyesha kama mafanikio.

Heri ya fisadi anayetekeleza mipango ya maendeleo kuliko wale wanaokaa ktk utawala bila results zozote. Niwaombe viongozi wa CDM kuchukua hatua ya kuwaonya madiwani wao wa Bkb kutojitumbukiza ktk magenge ya akina Kagasheki na Ruhangisa! Ruhangisa kawa mbunge na meya wa Bkb toka Uhuru lakini hana chochote anaweza kuonyesha kwamba alisimamia kuwaongoza wananchi wa Bkb mjini kupata unafuu wa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Hongera ccm. Magamba mlishindwaje kuyavua?
wN7Jxf2VLCMWgAAAABJRU5ErkJggg==
Ni vigumu kwa wachawi kusutana!!
 
Very SOON Nape atasema CDM wamebomboa ghetto lao Bukoba..keshaanza dai kuwa madiwani wamepandikizwa ili kuvuga chama...lugha ya kuonyesha kuwa CCM sasa wanapata adabu..

Usichana umewatoka sasa wanaonja adha ya kuzaa...na hiyo game wameshaifikisha mahali hawawezitena irudisha wala kukwepa fedheha ha kuingalia CDM na kuwaaonyesha watanzania km wanaweza handle ya CDM.Arusha mabango yote nje..hle za advertisers sijui vipi?
 
Jamani ccm imefika mwisho, inakufa kwa staili yake. Leo haitaki tena watu makini, ukihoji kwa kina unafukuzwa.....
 
Kwa hiyo pesa kubwa hivyo si wajenge jengo lao,
au ndo nyumba za watoto wa nyumbani.
Mamndenyi
Nenda kaulize pale mtaa wa Togo uone kama hutafukuzwa Chadema! Ule ni mradi wa watu halafu leo wanajitia eti wanataka kuwatetea watanzania; mkuu Ritz amewafumbua macho wengi tu!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi
Ndio kwanza narudi safari nilikuwa nje ya jukwaa; sioni tatizo kama kama wanakwenda kinyume na maamuzi ya vikao vya juu dawa sahihi ni kuwafukuza tu CCM ipo na itaendelea kuwepo !

CCM hawana ubavu huo. Wanafukuza usiku wanawarudisha asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom