kwani huyu ni jike?Uyo ni mwezi mchanga,
kwani huyu ni jike?Uyo ni mwezi mchanga,
Hasomekikwani huyu ni jike?
Lini ccm iliwahi kuwajari wananchi?Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA.
Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa mashakani.
Ni lazima serikali inunue mahindi yote ya wakulima wetu na kuyahifadhi badala ya kuyauza nje ya nchi, anasema.
Mtanzania akiwa na njaa hadanganyiki kwa pipi, amemalizia Mgaya
Mungu ni mwema wakati wote!
Siku zote bwashee!Lini ccm iliwahi kuwajari wananchi?
Ccm ni jini bahariSiku zote bwashee!