chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
hana uwezo wa kumleta balali labda kama anataka amfae aliko...tatizo la yote haya ni mwenyekiti wa chama..kawalea h hao miungu mtu..sasa watampanda kichwani....
Anatishia tu huyo
hana uwezo wa kumleta balali labda kama anataka amfae aliko...tatizo la yote haya ni mwenyekiti wa chama..kawalea h hao miungu mtu..sasa watampanda kichwani....
Niliwahi sema na nitaendela kusema tena kuwa haya yanayotokea ndani ya chama kikongwe na tawala ni lazima yatokee ili mabadiliko yatokee. Bila haya yanayotokea watanzania hawawezi fanya mabadiliko kamwe hata iweje!! Naamini ni mpango wa Muumba wetu baada ya kuona tumelalamika sana bila kuchukua hatua, na sasa anachukua hatua yeye kwa namna yake, hakika muda wa watanzania kukombolewa umefika.......Chocheeeni kuni.
Daaah unabii wetu utatimia Mzee Mwanakijiji?! CCM ni mamafia wameweza kuvuka salama....Pongezi kwao, ngoja tusubiri tuone mzee EL atafanya nini? Kwa nguvu zangu zote nitaendelea kuwa mpinga CCM mpaka pale watakapojirekebisha na kubomoa mfumo fisadi..Mzee Mwanakijiji, uliyoyaandika ni bayana. Hatimaye yaliyotabiriwa yanaelekea kutimia. Inafurahisha na ninapata amani ya moyo kwani kupasuka kwa CCM ndiyo mwanzo wa "Tanzania Mpya". Hawawezi kukatana majina kwa upande mmoja, na hawajajiandaa kushindwa kwa upande mwingine. Uongozi kwao ni kama bidhaa, Mwenye pesa nyingi ndiye mshindi. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
CCM itaendelea kuwa mwiba mkali kwa UKAWA!!
Hili ilikuwa ni amri; siyo ombi.
Lowasa hattathubutu kujitoa ccm madhambi yake yataanikwa afe kwa pressure atabaki ccm hata membe angekuwa mgombea
Hili ilikuwa ni amri; siyo ombi.
Mzee MwanakijijiHili ilikuwa ni amri; siyo ombi.