much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,579
CCM Ina mamillion ya vyanzo vya mapato hata hapa nilipo nimepanga kwenye frame zaoWatatoa wapi pesa?
CCM Ina mamillion ya vyanzo vya mapato hata hapa nilipo nimepanga kwenye frame zaoWatatoa wapi pesa?
Ilipata wapi pesa za kununua na kumiliki viwanja??CCM Ina mamillion ya vyanzo vya mapato hata hapa nilipo nimepanga kwenye frame zao
Ndio, ndio maana kinashiriki uchaguzi 😏PPT Maendeleo inataka kukamata dola?